Wakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.
Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.
Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?
Karibuni kwa mawazo yenu.
Hakuna hata mmoja.Tumechoka na sarakasi zaoWakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.
Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.
Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?
Karibuni kwa mawazo yenu.
Chama cha green wanatumia ubabe kuchukua madaraka halafu sad enough hadi sasa hivi upinzani hawana strategy yeyote ya kupambana na hilo!Naungana na wewe mkuu,nadhani karibia wote hawata rudi
Naungana na wewe mkuu,nadhani karibia wote hawata rudi
Wakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.
Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.
Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?
Karibuni kwa mawazo yenu.
Daah,inasikitisha saana mkuuMkuu ukishasikia watahakikisha wanashinda kwa gharama yoyote ile basi ogopa sana. Yaliyojiri kwenye uchaguzi wa Madiwani ilikuwa cha mtoto hii itakuwa picha kamili ya kuhakikisha wapinzani wanafutika rasmi nchini kwa kutoambulia hata kiti kimoja cha ubunge.
Nadhani uliona Mkuu wa mkoa wa Mbeya akimuomba samahani dhalimu kwa kushindwa kukamilisha wizi wa kiti cha udiwani. Sidhani kuna Mkuu wa Mkoa yeyote yule atakayekuwa tayari kutaka kuomba samahani.