nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,607
- 8,381
Kama kuwa na wabunge wa upinzani ni sawa na kuwa na wabunge wa chama tawala tu, haina shida acha wasirudi. Ila kama kuna umuhimu wa wabunge wa upinzani bungeni, basi wananchi wajitafakari na wafanye maamuzi sahihi.
Amini nakuambia, kumchagua mbunge ambaye ni mzigo kwa kigezo cha chama, ni kuikomoa jamii nzima ikiwa ni pamoja na mchaguaji mwenyewe
Amini nakuambia, kumchagua mbunge ambaye ni mzigo kwa kigezo cha chama, ni kuikomoa jamii nzima ikiwa ni pamoja na mchaguaji mwenyewe