Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

Hayo ni mawazo yasiyo sahihi.katika nchi ya demokrasia huwezi kuongelea mfumo wa Chama kimoja.Nadhani hata Rais Hana mpango huo wa kufanya nchi iwe ya Chama kimoja.kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaweka fukuto lisilo na sababu na ambayo itafanya turudi nyuma sana.
Sisi chama tawala tumeshaamua hakuna wa kuleta fyoko kama hamtaki hameni nchi.Lazima Chadema ife.
 
Wakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.

Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.

Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?

Karibuni kwa mawazo yenu.
Tume ya Uchaguzii ya CCM, Wakurugenzi watumishii wa CCM. Wasimamizi wa Uchaguzii ni wa CCM
 
Mtaikumbuka hii kauli yangu daima.."hawahami kwa lengo la kumuunga mkono juhudi zake Kama wanavyojinasibu bali ni hofu juu ya uchaguzi wa 2020 !! Kila mtu Ana maono yake na ndoto zake ila kuna mda utafka tena wataanza kuhamia chadema hapo ndpo watasema ukweli na sio huu wanatulaghai kuwa ni ukweli" eti kisa m/kiti wa cdm haaa!!;
 
2020 mwisho wa jiwe..atatumia mabavu"wanaume"watakuja kumchomoa kama Mugabe
 
Huja
Hayo ni mawazo yasiyo sahihi.katika nchi ya demokrasia huwezi kuongelea mfumo wa Chama kimoja.Nadhani hata Rais Hana mpango huo wa kufanya nchi iwe ya Chama kimoja.kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaweka fukuto lisilo na sababu na ambayo itafanya turudi nyuma sana.
Hujamsikia Polepole akijitanabaisha kuwa ati wanapendelea siasa za china? China Kuna nini ? Kuna Mungu Mtu I guess!! Tutegemee kuongezewa miaka ya utawala kupitia mlango WA nyuma na wazee WA kitengo bado hawajausoma mchezo!

Tulio nje ya kitengo tumeshahisi kitu, maana ile ya kuongeza miaka ya utawala Ni kama ilibuma sasa imekuja Kwa mlango mwingine kitengo jinsi walivyo blind hawajahisi maana wanashiriki huku hawajui wanafanya nini!
 
Back
Top Bottom