Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

Mawazo ya kijinga sana!! Kumbuka uchaguzi mkuu 2020 hakutakuwa na kupeana kampani kama ilivyo chaguzi za marudio! Kila mtu atakomaa na jimbo lake na sound zake!! Hata mzee jiwe na Sili-nde watakuwa wanapambana na majimbo yao! Hali itakuwa ngumu sana, jasho litawatoka na sauti kukauka! Watatamani waungane kupiga bao la mkono ila itashindikana kwa ubize majimboni!
 
Then mtaonja ladha ya utawala wa chama kimoja kwa mara nyengine
 
Mawazo ya kijinga sana!! Kumbuka uchaguzi mkuu 2020 hakutakuwa na kupeana kampani kama ilivyo chaguzi za marudio! Kila mtu atakomaa na jimbo lake na sound zake!! Hata mzee jiwe na Sili-nde watakuwa wanapambana na majimbo yao! Hali itakuwa ngumu sana, jasho litawatoka na sauti kukauka! Watatamani waungane kupiga bao la mkono ila itashindikana kwa ubize majimboni!
Usifikiri kila asemaye hivi anasema kwa ubaya ni kuwaamsha wasilale
 
Nmemsikia ktk habar ..katibu mwenezi wenu mzee wa mwendo wa kinyonga anasema

"Tunataka kufikia 2025 Tanzania ni nchi ya uchumi wakati"

Kwahaya maneno maana yake mmeshajihakikishia kua 2020 mnapita kwa nguvu japokua mtapingwa .
 
ni rahisi sana mpinzani kuingia Ikulu...ni swala la subira na right time

watawala huwa wanachoka,wanaishiwa mbinu na pia huwa nao ni binadamu

kumbuka hatma ya YAHYA jammeh ,Nelson Mandela kuwa rais,Laurent Gagbo alivyo angushwa na Alassaine Quatara.

Nani aliyejua Leo hii kama akina Luwassa na Mr Zero wangekuwepo side B..!?
 
kitakachotokea 2020. mungu anajua. wapinzani wakiwa kondoo, ccm itazoa majimbo yote. upinzani wakikomaa tujiandae kuona nchi ikichafuka. ccm wakikubali kuingia na tume hii 2020 wawe tayari kulitumbukiza taifa kwenye matatizo.
 
Tatizo wamefunika macho kwa kusema wananunuliwa, kuna mageuzi ya msingi sana yanayohitajika ndani ya vyama vyetu na aina ya siasa waifanyayo, lazima wabadili strategy ila kwa mwendo huu sioni mbunge anayerudi 2020
Nikajua unaelewa kinachotokea kumbe unafikiri wananchi wanachagua hiyo Ccm! Wanaochagua Ni wachache mno shida Ni wanaotangaza wanatangazaje! Nadhani solution utakuwa haipo mbali.

Wananchi wakiamua kuwa serious na kurazao basi utaiina u- turn. Hapo wapinzani wametriple ILA system inategemea kimoja tuu vitisho plus propaganda!!
 
Mkuu labda hujanielewa, usemacho yawezekana kina ukweli ila kwa stahili hii unadhani tutafika?
 
Uliongea as if hao watu wanapendwa saana na wanashinda hivyo upinzani wanahali ngumu na hawaeleweki Kwa jamii! While Ni vise versa! Hao kwasasa ukitokea uchaguzi hawatapata hata1/10 ya majimbo, wanasababisha kuchukiwa kupita upeo na jamii!

Ushahidi Ni party ya Bashite unafikiri Ni bure? Kama unaona Mbele utajua Kuna mambo hayapo sawa!
 
kitakachotokea 2020. mungu anajua. wapinzani wakiwa kondoo, ccm itazoa majimbo yote. upinzani wakikomaa tujiandae kuona nchi ikichafuka. ccm wakikubali kuingia na tume hii 2020 wawe tayari kulitumbukiza taifa kwenye matatizo.
Labda hayo machafuko mtayafanyia hapo hapo ufipa. Acheni kuota ndoto ya machafuko, haipo.
 
unafahamu vigezo vya upatikanaji wa wabunge wa viti maalumu kwa chama husika? vinginevyo kila chama hata CHAUMA kingekuwa na mbunge wa viti maalumu bungeni
Vitu maalum vya waitara na wenzie.. Kwani wameshindana na nani?
 
Aliyekuambia kuwa mpaka 2020 kutakuwa na upinzani ni nani? Tumewekeza kuirudisha nchi katika mfumo wa chama kimoja chama dola.
Hayo ni mawazo yasiyo sahihi.katika nchi ya demokrasia huwezi kuongelea mfumo wa Chama kimoja.Nadhani hata Rais Hana mpango huo wa kufanya nchi iwe ya Chama kimoja.kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaweka fukuto lisilo na sababu na ambayo itafanya turudi nyuma sana.
 
Dunia ina sanga mbele.mfumo wa Chama kimoja ulijaribiwa karibu na nchi zote za afrika lakini ulishindikana kwa sababu unaweka tabaka la watawala yaani wanaoamua na wengine wote tunabaki wasindikizaji.mfumo wa vyama vingi unamfanya mtawala kufanya au kuleta maendeleo akijua akikosea wananchi watawaondoa.mfumo wa vyama vingi una faida nyingi kwa wananchi kuliko mfumo wa Chama kimoja
 
Hayo ni mawazo yasiyo sahihi.katika nchi ya demokrasia huwezi kuongelea mfumo wa Chama kimoja.Nadhani hata Rais Hana mpango huo wa kufanya nchi iwe ya Chama kimoja.kwa kufanya hivyo tutakuwa tunaweka fukuto lisilo na sababu na ambayo itafanya turudi nyuma sana.
Mimi natamani wabunge wa upinzani wawe wengi ili kuwepo na checks and balances.bila upinzani hakuna checks and balances katika nchi
 
Back
Top Bottom