Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

Habarini wakuu!

Upinzani Tanzania kwaheri ndugu zangu. CHADEMA hawana chao tena. Kwanza ukiangalia huoni ambacho wanakifanya majimboni kwao. Wana strategies mfu kabisa. Waoga na ni watu wa kususa susa sana bila kuwa na msimamo dhabiti!

Majimbo tajwa hapo juu yameshaenda na maji. Siyo swala la kuuliza tena.

CHADEMA watawambia nini wananchi mwaka 2020 ? Ni nano ambaye atadanganyika ?

Mamiradi makubwa makubwa yanayofanywa na jembe letu, Rais JPM imeshawamaliza hawa jamaa!

Sera zao zote zimeshatekelezwa. Hawana la kusema.

Bungeni atabaki Zitto pekee labda na Hashimu Rungwe ( maana atagombea Ubunge ). Wengine wote kwakeri yao.

Hatutaki watu wa kupingapinga kila kitu halafu mwisho wa siku wanakuja kulialia wanaomba miradi.

Muda utaongea!

Tukae mkao wa kula.

Wanapata taabu sana, watapata taabu sana mpaka mwisho wa maisha yao!
Foolish fool!!!So what?
 
Yaani chadema wangejua wasingeng'ang'ania majimbo tajwa. Wangekubaliana wote. Waite press watangaze kufanya biashara nyingine na waachane na political entrepreneurship. Huu msamiati nikwa ajili ya wataalamu tu.

Nasema hayo kwa sababu kwa track iliyosasa siya kipinzani Tena.
Wangewatendea haki wananchi wao kwa kuiachia ccm ichukue bila hata kupiga kura. Wateue tu. Keisha.

Lkn mbeya itakuwa balaa. Sugu atauawa.
Unatumia id feki lakini utabiri wako ukiwa kweli huko mbeya, jiandae kuisaidia polisi!
 
Hata Hashimu Rungwe nae asingeshindwa kukopa na kugharamia vitu kama hivyo huku wizara nyingi zikipata bajeti chini ya asilimi 50(iwapo nae asingejali) na angeweza kuchukua mpaka hela za wakulima wa korosho.

Mkuu umefanana mawazo na mimi. Sasa hivi kila mtu anasifia miradi ya maendeleo lakini hamna anayezungumzia deni la taifa lililovyokuwa. Wasichofahamu mkuu wa nchi anadhani bado anaoongoza wizara ya miundo mbinu, hivyo hela zote za mikopo inayofika 15t in 3yrs ya utawala wake italipikaje. Ni nani angeshindwa kujenga miundo mbinu tena mingi kuliko yake kama angeelekeza mipango yake kwenye miundo mbinu tu? Kibaya zaidi atatoka madarakani tukiwa bado hatujaanza kulipa hilo deni. Je tuna hakika gani rais ajaye atalipa deni hilo achia mbali kuendeleza miradi atakayokuwa anawekeza sasa? Inafahami kila rais akiingia madarakani huacha karibia yote na kuanza kivyake ili ajenge jinga lake, matokeo yake miradi ya mtangulizi inageuka kuwa madeni yasiyolipika.
 
Mchukueni tu na tujue.

Kiongozi MWENYE HEKIMA NA BUSARA HAPATIKANI NA HASHINDI KWA HILA WALA NGUVU .

shinda MIOYO YA WATU kwa mapenzi yao NASIO KUSHINDA MIOYO YAO KWA NGUVU !!


aya upinzan ukishakufa, ni Faida gan itapatikana?.

Hao wapuuzi watarudi mtaani na bunge halitakuwa tena na wababaishaji.
 
Mchukueni tu na tujue.

Kiongozi MWENYE HEKIMA NA BUSARA HAPATIKANI NA HASHINDI KWA HILA WALA NGUVU .

shinda MIOYO YA WATU kwa mapenzi yao NASIO KUSHINDA MIOYO YAO KWA NGUVU !!


aya upinzan ukishakufa, ni Faida gan itapatikana?.
Tutaishi kwa amani na utulivu nchini, tukitumia muda mwingi kujadili miladi ya maendeleo mkuu!
 
Na mkishayachukua what next...!?? Viwanda vingapi vinaongezeka!?? Tuna watu wajinga sana tz hii
 
Utakuwa unapumuliwa kisogoni ndio maana unamsifia! Aisifuye mvua imemnyea!
 
Habarini wakuu!

Upinzani Tanzania kwaheri ndugu zangu. CHADEMA hawana chao tena. Kwanza ukiangalia huoni ambacho wanakifanya majimboni kwao. Wana strategies mfu kabisa. Waoga na ni watu wa kususa susa sana bila kuwa na msimamo dhabiti!

Majimbo tajwa hapo juu yameshaenda na maji. Siyo swala la kuuliza tena.

CHADEMA watawambia nini wananchi mwaka 2020 ? Ni nano ambaye atadanganyika ?

Mamiradi makubwa makubwa yanayofanywa na jembe letu, Rais JPM imeshawamaliza hawa jamaa!

Sera zao zote zimeshatekelezwa. Hawana la kusema.

Bungeni atabaki Zitto pekee labda na Hashimu Rungwe ( maana atagombea Ubunge ). Wengine wote kwakeri yao.

Hatutaki watu wa kupingapinga kila kitu halafu mwisho wa siku wanakuja kulialia wanaomba miradi.

Muda utaongea!

Tukae mkao wa kula.

Wanapata taabu sana, watapata taabu sana mpaka mwisho wa maisha yao!
Kwa akili kama hii kwanini mzungu asiendelee kuchukua madini?
 
Wewe mtoa mada unayajua yanayoendelea chini kwa chini ndani ya ccm?? 2020 sio mbali kama itakuwa salama basi hayo unayoyaombea yatatimia.
 
Babu yako na bibi yako wanateseka huko mbwinde kwa kukosa maji safi na salama.... Hata Madawa hospital hakuna then unashabikia chaguz za marudio.. Unashabikia upotevu wa 1.5T ,unashabikia uminywaji wa democracy, unashabikia torturing of opposition leaders... Shuleni ulifuata nn??? Since 1961 bado tunapambana na maadui watatu ujinga, maradhi na umaskini hadi Leo.. Lakin bado washabikia siasa chafu za ccm .....jiaangalie marambili mkuu... Utu ni muhimu kuliko
kwani Marekani wanapambana na nini?
 
Habarini wakuu!

Upinzani Tanzania kwaheri ndugu zangu. CHADEMA hawana chao tena. Kwanza ukiangalia huoni ambacho wanakifanya majimboni kwao. Wana strategies mfu kabisa. Waoga na ni watu wa kususa susa sana bila kuwa na msimamo dhabiti!

Majimbo tajwa hapo juu yameshaenda na maji. Siyo swala la kuuliza tena.

CHADEMA watawambia nini wananchi mwaka 2020 ? Ni nano ambaye atadanganyika ?

Mamiradi makubwa makubwa yanayofanywa na jembe letu, Rais JPM imeshawamaliza hawa jamaa!

Sera zao zote zimeshatekelezwa. Hawana la kusema.

Bungeni atabaki Zitto pekee labda na Hashimu Rungwe ( maana atagombea Ubunge ). Wengine wote kwakeri yao.

Hatutaki watu wa kupingapinga kila kitu halafu mwisho wa siku wanakuja kulialia wanaomba miradi.

Muda utaongea!

Tukae mkao wa kula.

Wanapata taabu sana, watapata taabu sana mpaka mwisho wa maisha yao!
Ko ndo yameshika maendeleo ya nchi ya singonge mbele yan hawa vichaa bn
 
Vivuko vinazama kwa ubovu na uzembe akili yenu mnawaza chadema !
 
Duh,Hayo majimbo yamezuia maendeleo ya nchi hii kwa miaka mingi sana.Kwa kifupi Sugu,Msigwa na hao wote waliotajwa ndio wamesababisha wanafunzi wasipewe mikopo,hali ngumu ya maisha,kukosekana kwa maji safi na salama,Acassia kutuibia madini,Mikataba mibovu tuliyoingia pamoja na Ukosefu wa ajira.Naunga mkono upinzani ufe na hayo majimbo yarudi nyumbani nchi iendelee.Hapa kazi tuu
 
Ueni vyama vya upinzani
Chukueni kila jimbo kila kata kila kijiji
Kwa mtutu wa bunduki, kwa kutumia NEC, kwa kujaza kura zenu, kwa kuwatumia mawakala.
Tawaleni lakini Guess what, kuna Kizazi kitakuja kitawasoma na Kuwadharau sana na kuwaona watu wenye maono madogo sana kwa mustakbali wa Taifa hili!
Halafu sasa mlivyo na vision fupi, Jiwe amebakiza miaka saba tu, hatotawala milele na hatoishi milele, ila mambo yenu yasiyoangalia future yatakuja kuathiri watoto wenu na wajukuu zenu na vizazi vyenu hilo hamlioni?
 
Mbele ya Soldier nyakua, nyakueni tu wala haina tabu, ila hamuwaumizi Chadema bali mnaiumiza Tanzania yenu mnayopaswa kuijenga
 
Mbele ya Soldier nyakua, nyakueni tu wala haina tabu, ila hamuwaumizi Chadema bali mnaiumiza Tanzania yenu mnayopasws kuijenga
 
Back
Top Bottom