LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,406
haa haa. majivuno yote hayo ni tume ya uchaguzi na polis . ccm bila kubebwa na tume hapana..
Nani huyo wa pale bilikanazi au wa wapiBwana Mkubwa Mstaafu wa kuchezea CD ameleta Maombi ya kujiunga Na chama Cha wazalendo Maombi yake yamekataliwa
Duuh, kazi kweli kweli.Bwana Mkubwa Mstaafu wa kuchezea CD ameleta Maombi ya kujiunga Na chama Cha wazalendo Maombi yake yamekataliwa
Kwani CCM mnaimiliki Tanzania?!Chadema acheni ujinga.........mnayamiliki hayo majimbo?!!
Hivi kumbe tukimaliza kero za wananchi zote mhimili wa bunge unafutwa? Tujielimishe majukumu ya wabunge.Habarini wakuu!
Upinzani Tanzania kwaheri ndugu zangu. CHADEMA hawana chao tena. Kwanza ukiangalia huoni ambacho wanakifanya majimboni kwao. Wana strategies mfu kabisa. Waoga na ni watu wa kususa susa sana bila kuwa na msimamo dhabiti!
Majimbo tajwa hapo juu yameshaenda na maji. Siyo swala la kuuliza tena.
CHADEMA watawambia nini wananchi mwaka 2020 ? Ni nano ambaye atadanganyika ?
Mamiradi makubwa makubwa yanayofanywa na jembe letu, Rais JPM imeshawamaliza hawa jamaa!
Sera zao zote zimeshatekelezwa. Hawana la kusema.
Bungeni atabaki Zitto pekee labda na Hashimu Rungwe ( maana atagombea Ubunge ). Wengine wote kwakeri yao.
Hatutaki watu wa kupingapinga kila kitu halafu mwisho wa siku wanakuja kulialia wanaomba miradi.
Muda utaongea!
Tukae mkao wa kula.
Wanapata taabu sana, watapata taabu sana mpaka mwisho wa maisha yao!
Dunia ya tatuKusini mwa jangwa la sahara......
Mbowe hana jimbo!Kwani CCM mnaimiliki Tanzania?!