Maneno makali sana haya.Watu weusi ni shida mtu kutofautiana mawazo mara wakupige risasi kisa mmetofautiana wakati wote nyie ni wana Tanzania mnampango wa kuijenga Tanzania nikikumbuka Tukio la Nape Nauye na Lissu nao watu weusi atukupaswa kuepo Duniani
Wewe unafaahamu ila unajitoa ufahamu ili upate kufahamika upate unachokotaka mambo yawe shegaunafahamu vigezo vya upatikanaji wa wabunge wa viti maalumu kwa chama husika? vinginevyo kila chama hata CHAUMA kingekuwa na mbunge wa viti maalumu bungeni
Swali la msingi hapa siyo wabunge wa upinzani kurudi tena bungeni. Swali kuu ni iwapo tunahitaji kutumia hela nyingi kiasi hiki katika uchaguzi wa vyama vingi. Je tunahitaji vyama vingi kwa mazingira tuliyo nayo au ndiyo tunajifanyia sarakasi za kisiasa?Wakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.
Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.
Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?
Karibuni kwa mawazo yenu.
Ni bora kususia kuliko kupotezwa! Kuumizwa na wasiojulikana!Wabunge wote wa Chadema wakisusia uchaguzi 2020 hakika itapendeza.
Kama watanzania wote na chama tawala wataona ni busara kazi zote za kusimamia serikali aachiwe Rais Magu kama sasa na wabunge na wafanyakazi wote wakibaki wanaangalia basi chagueni CCM tu.Hivi hamuoni aibu au huruma kama sio kwa serikali basi hata kwa Rais kila uozo n yeye pekee yake ndiye anayeuona.Hivi wabunge hao wote wengi wa CCM waliochaguliwa kuna kitu gani wanafanya.AIRTEL ,NHC,BANDARINI,AIRPORT kote huko kuna uchafu ambao kuusafisha sio kuwa na wabunge wengi wa CCM bali wa vyama vya upinzani pia wa kusaidia kukosoa mapungufu ya kiutendaji na kumsaidia Rais.Kwa manufaa ya Rais ni afadhali hata wapinzani wakawa wengi kwani watamsaidia kuibua uozoWakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.
Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.
Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?
Karibuni kwa mawazo yenu.
Nina uhakika ccm hawatakua madarakani 2020 watakao dhani naota mtakumbuka haya maneno yangu ........ccm pamoja na nguvu la jeshi na polisi still hawata amini kitakachowakuta 2019 this is a factWakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.
Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.
Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?
Karibuni kwa mawazo yenu.
Kuna wale double standard wako mguu pande,waNaungana na wewe mkuu,nadhani karibia wote hawata rudi
Na ww unaongea kama hujielewi,kuna ushindani gani kwa awamu hii?Kama kuna ushindani watarudi wengi kuliko sasa. Ila kama ni kwa hayo mapanga hakuna atakayerudi na wala hakuna anayetaka kurudi kwa wafuasi wake kukatwa mapanga. Ila shida sio kurudi wapinzani bungeni bali maisha ya hao wanaolazimishwa kupewa viongozi wa ccm wawatawale itakuwaje?