Je, kuna mbunge yeyote wa upinzani atarudi Bungeni 2020?

Sisi chama tawala tumeshaamua hakuna wa kuleta fyoko kama hamtaki hameni nchi.Lazima Chadema ife.
 
Tume ya Uchaguzii ya CCM, Wakurugenzi watumishii wa CCM. Wasimamizi wa Uchaguzii ni wa CCM
 
Mtaikumbuka hii kauli yangu daima.."hawahami kwa lengo la kumuunga mkono juhudi zake Kama wanavyojinasibu bali ni hofu juu ya uchaguzi wa 2020 !! Kila mtu Ana maono yake na ndoto zake ila kuna mda utafka tena wataanza kuhamia chadema hapo ndpo watasema ukweli na sio huu wanatulaghai kuwa ni ukweli" eti kisa m/kiti wa cdm haaa!!;
 
2020 mwisho wa jiwe..atatumia mabavu"wanaume"watakuja kumchomoa kama Mugabe
 
Huja Hujamsikia Polepole akijitanabaisha kuwa ati wanapendelea siasa za china? China Kuna nini ? Kuna Mungu Mtu I guess!! Tutegemee kuongezewa miaka ya utawala kupitia mlango WA nyuma na wazee WA kitengo bado hawajausoma mchezo!

Tulio nje ya kitengo tumeshahisi kitu, maana ile ya kuongeza miaka ya utawala Ni kama ilibuma sasa imekuja Kwa mlango mwingine kitengo jinsi walivyo blind hawajahisi maana wanashiriki huku hawajui wanafanya nini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…