Je, kuna mfanyakazi wa serikali analipwa mshahara zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano

Je, kuna mfanyakazi wa serikali analipwa mshahara zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano

Kuna mbishano hapa nilipo mpaka wat u wanaweka hela kujua nani analipwa zaidi ya mshahara was rais ukiacha posho. So anaejua please ataje wakuuu gani hao
Acha kubishania mambo ya kijinga.

Kwani hamwezi hata kubishania Katiba Mpya?
At least
 
waambie hivi ,wafanyakazi wa waviwandani wanalipwa hela nyingi sana kwenye nchi hii kuliko mtumishi yeyote yule
 
Imagine unakuwa Rais wa Tanzania ambae kazi yake ni kuua watu,kubambikizia watu kesi,kuua uchumi wa nchi,kuua watu na kuwaweka kwenye viroba na kwenda kuwatupa baharini,kutesa watu,kunyima watu haki zao za kidemokrasia kwa kuiba kura,kusimamia ufisadi wa mali za uma,kunuka damu za watu na kadhalika halafu kuna mtu analipwa zaidi yako ambae yeye ni mkurugenzi tu wa shirika la uma!
 
Back
Top Bottom