Je, kuna mfanyakazi wa serikali analipwa mshahara zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano

Je, kuna mfanyakazi wa serikali analipwa mshahara zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano

Ndyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Utaanguka nikiandika, kuna watu wanakula neema za nchii hii, we endelea kushindia makande [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna mtu analipwa 60m kwa mwezi nchi hii, iweje rais wa JMT alipwe 9m?
 
Rais 9.5mill
DG/CEO Bandari, TRA, TBS, Tanesco 15mill
Mshahara ni kiini macho.... Tazama kichwa Cha treni kidogo... Nyuma kinavuta mabehewa lukuki !!!! Wapo wenye mishahara midogo lakini... Nyuma wamefungasha zigo kama mwanamke asili wa kibantu, na wengine mishahara inaonekana mikubwa lakini nyuma wamepigwa pasi ... Au wako kama nyoka !!
 
Back
Top Bottom