[emoji38] [emoji38] [emoji38] Utaanguka nikiandika, kuna watu wanakula neema za nchii hii, we endelea kushindia makande [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mshahara ni kiini macho.... Tazama kichwa Cha treni kidogo... Nyuma kinavuta mabehewa lukuki !!!! Wapo wenye mishahara midogo lakini... Nyuma wamefungasha zigo kama mwanamke asili wa kibantu, na wengine mishahara inaonekana mikubwa lakini nyuma wamepigwa pasi ... Au wako kama nyoka !!