Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.

Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
 
Duh huyu jamaa Kwa Kamba!

Halafu cha kushangaza kawe ndio jimbo linaloongoza kwa kuwa na wasomi wengi kuliko jimbo lolote Tanzania halafu unawapiga watu fix!

Wakati baadhi ya street road tu za uku Mbezi,Tegeta na Bunju zimemshinda kutwa kucha vijigari vyetu garage!

Pia alisema anawekeza kwenye treni yaani mambo mengi kama mwanamke mwenye mimba.

Tuendelee kuwepo maana 2025 sio mbali!
 
Duh huyu jamaa Kwa Kamba!

Halafu cha kushangaza kawe ndio jimbo linaloongoza kwa kuwa na wasomi wengi kuliko jimbo lolote Tanzania halafu unawapiga watu fix!!

Wakati baadhi ya street road tu za uku Mbezi,Tegeta na Bunju zimemshinda kutwa kucha vijigari vyetu garage!!!

Yupo busy anashughulikia visa zetu ajili ya kutupeleka Marekani
 
Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.

Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
Umechanjwa chanjo ya korona ?🤣🤸🐒
 
Duh huyu jamaa Kwa Kamba!

Halafu cha kushangaza kawe ndio jimbo linaloongoza kwa kuwa na wasomi wengi kuliko jimbo lolote Tanzania halafu unawapiga watu fix!!

Wakati baadhi ya street road tu za uku Mbezi,Tegeta na Bunju zimemshinda kutwa kucha vijigari vyetu garage!!!

Pia alisema anawekeza kwenye treni yaani mambo mengi kama mwanamke mwenye mimba.

Tuendelee kuwepo maana 2025 sio mbali!
Alihitaji kura za kwenye mabegi kuwa mbunge wa Kawe.
Kifupi wana Kawe hawana mbunge for five years
 
Duh huyu jamaa Kwa Kamba!

Halafu cha kushangaza kawe ndio jimbo linaloongoza kwa kuwa na wasomi wengi kuliko jimbo lolote Tanzania halafu unawapiga watu fix!!

Wakati baadhi ya street road tu za uku Mbezi,Tegeta na Bunju zimemshinda kutwa kucha vijigari vyetu garage!!!

Pia alisema anawekeza kwenye treni yaani mambo mengi kama mwanamke mwenye mimba.

Tuendelee kuwepo maana 2025 sio mbali!
Kwani Gwajima alishinda?
2025 kufanya Nini?
Gwajima atarudi Bungeni Tena.
Gwajima hakushinda uchaguzi na atarudi Bungeni Tena kwa njia ileile haramu.
Gwajima Ni mmoja wa watu wanaoitwa "fake Pasters"
Amejipachika vyeo kibao vya utumishi wa Mungu.
Askofu na Mchungaji josee gwaji.
 
Back
Top Bottom