Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.

Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
Tapeli la injili hilo kwenye siasa ndo litawaliza balaaa
 
Huyu mh. Mbunge wa kawe watu wanamtafuta Kawe sokoni aliahidi ujenzi wa soko na barabara kuelekea kanisa la KKKT lakini wapi hata kupita kusalimia haonekani nadhani ataonekana tena 2025.

Watu wa Makonde Kwenye shule karibu nne wanamtafuta awaeleze ni kwanini Lami iliishia Shopperz tu ilihali nao ni walipakodi wazuri lakini lami haikuendelea mpaka makonde haonekani. Watu wamtafuta wamuulize ni kwanini Lami inaelekea kwa Lukuvi na Chibu dangote lakinj mitaa yenye mabepari ya kina Temu lami haikupigwa na ndio walipa kodi wakubwa haonekani

Ccm mlikosea sana kumsimika huyu mchunga kondoo wa bwana kwani jimbo lake watu wanamuulizia na barua,email wanamtumia mheshimiwa vipi vyuo vya uvuvi, miundombinu mbona kimya hata greda la manispaa lipite tuu lichonge barabara yeye kajichimbia Dar au dodoma . Mh mtume hata Metuselah aje aseme na wananchi wenyeviti wanafunga ofisi wanaogopa maswali magumu.
 
Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.

Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
Huyo kichaa akiingia bunge la vichaa wenzie sababu alishaonekana anayo kichaa kinachofaa kwa enzi ya bwana yule. Kwa sasa he is irrelevant.
 
Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.

Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
Niko BIRMINGHAM HAPA nimefika jana. Asante Msukuma Gwajima
 
Duh huyu jamaa Kwa Kamba!

Halafu cha kushangaza kawe ndio jimbo linaloongoza kwa kuwa na wasomi wengi kuliko jimbo lolote Tanzania halafu unawapiga watu fix!!

Wakati baadhi ya street road tu za uku Mbezi,Tegeta na Bunju zimemshinda kutwa kucha vijigari vyetu garage!!!

Pia alisema anawekeza kwenye treni yaani mambo mengi kama mwanamke mwenye mimba.

Tuendelee kuwepo maana 2025 sio mbali!
Kama anapiga watu kamba kwa nini mulimchaguwa.
Pamoja na makosa ya kibinadamu aliyofanya Halima Mdee tukubali kwamba yeye Halima ni best kuliko Askofu na wabunge wengine wa upande ule.
 
Kwani Gwajima alishinda?
2025 kufanya Nini?
Gwajima atarudi Bungeni Tena.
Gwajima hakushinda uchaguzi na atarudi Bungeni Tena kwa njia ileile haramu.
Gwajima Ni mmoja wa watu wanaoitwa "fake Pasters"
Amejipachika vyeo kibao vya utumishi wa Mungu.
Askofu na Mchungaji josee gwaji.
Weka sawa hapo mkuu
 
Kwa njia Ile Ile haramu.
Kama vile Marehemu alivyongia 2015 kwa haramu na 2020 akarudi kwa haramu.
Tabia hii ni tabia halisi ya CCM
Kumbuka uchaguzi wa serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu.
Iko sawa?
 
Kuwa na subira mkuu, kama sio Marekani basi hata kwa Mpalange tu ukipelekwa inatosha.
 
Kwenye katiba mpya napendekeza kuwepo na kipengele cha wagombea kufanyiwa uchunguzi yakinifu kuhusu utimamu wa akili pia wasiishie kwenye miili tu..
 
Back
Top Bottom