MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Yupo busy anashughulikia visa zetu ajili ya kutupeleka MarekaniDuh huyu jamaa Kwa Kamba!
Halafu cha kushangaza kawe ndio jimbo linaloongoza kwa kuwa na wasomi wengi kuliko jimbo lolote Tanzania halafu unawapiga watu fix!!
Wakati baadhi ya street road tu za uku Mbezi,Tegeta na Bunju zimemshinda kutwa kucha vijigari vyetu garage!!!
Pia alisema anawekeza kwenye treni yaani mambo mengi kama mwanamke mwenye mimba.
Tuendelee kuwepo maana 2025 sio mbali!
Mkuu tunatakiwa kuwa na nini tunaosafiri?Pole sana, ingelikuwa sio Covid 19, wewe siku nyingi ungeishakuwa US.
P
Umechanjwa chanjo ya korona ?🤣🤸🐒Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.
Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
Alihitaji kura za kwenye mabegi kuwa mbunge wa Kawe.Duh huyu jamaa Kwa Kamba!
Halafu cha kushangaza kawe ndio jimbo linaloongoza kwa kuwa na wasomi wengi kuliko jimbo lolote Tanzania halafu unawapiga watu fix!!
Wakati baadhi ya street road tu za uku Mbezi,Tegeta na Bunju zimemshinda kutwa kucha vijigari vyetu garage!!!
Pia alisema anawekeza kwenye treni yaani mambo mengi kama mwanamke mwenye mimba.
Tuendelee kuwepo maana 2025 sio mbali!
Kwani Gwajima alishinda?Duh huyu jamaa Kwa Kamba!