Tapeli la injili hilo kwenye siasa ndo litawaliza balaaaNikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.
Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
Huyo kichaa akiingia bunge la vichaa wenzie sababu alishaonekana anayo kichaa kinachofaa kwa enzi ya bwana yule. Kwa sasa he is irrelevant.Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.
Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
Huyo hatafanya chochote sababu anajua 2025 hatagombea tena.
Niko BIRMINGHAM HAPA nimefika jana. Asante Msukuma GwajimaNikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia.
Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
Kashindwa kumfufua Jiwe na kijaziπ π₯°Hivi bado anafufua wafu?The man is a horrible liar!ππππ
Jiwe mpaka alijamba. Alionekana afya yake kudhoofu tangu hapo. Nafsi ilimsuta siku zote hadi umauti. Dhambi mbaya sanaNileteeni Gwajima,Nileteeeni Gwajimaaa,Nileteeeeeeni Gwajima.
Teepee yule jamaa!πππππKashindwa kumfufua Jiwe na kijaziπ π₯°
Jimbo lako ulilopata Kura Moja. Wajumbe sio watuPole sana, ingelikuwa sio Covid 19, wewe siku nyingi ungeishakuwa US.
P
Kama anapiga watu kamba kwa nini mulimchaguwa.Duh huyu jamaa Kwa Kamba!
Halafu cha kushangaza kawe ndio jimbo linaloongoza kwa kuwa na wasomi wengi kuliko jimbo lolote Tanzania halafu unawapiga watu fix!!
Wakati baadhi ya street road tu za uku Mbezi,Tegeta na Bunju zimemshinda kutwa kucha vijigari vyetu garage!!!
Pia alisema anawekeza kwenye treni yaani mambo mengi kama mwanamke mwenye mimba.
Tuendelee kuwepo maana 2025 sio mbali!
Mbona dayamondi yuko US? Au kovid inachagua watu wa kwenda huko?Pole sana, ingelikuwa sio Covid 19, wewe siku nyingi ungeishakuwa uko US!.
Vuta subra, Covid ikiisha, atakupeleka.
P
Weka sawa hapo mkuuKwani Gwajima alishinda?
2025 kufanya Nini?
Gwajima atarudi Bungeni Tena.
Gwajima hakushinda uchaguzi na atarudi Bungeni Tena kwa njia ileile haramu.
Gwajima Ni mmoja wa watu wanaoitwa "fake Pasters"
Amejipachika vyeo kibao vya utumishi wa Mungu.
Askofu na Mchungaji josee gwaji.