Je, kuna mtu ameshawahi kupona Staphylococcus Aureus (MRSA) atupatie mbinu?

Je, kuna mtu ameshawahi kupona Staphylococcus Aureus (MRSA) atupatie mbinu?

umejaribu kutuletea scientific name bro, jaribu kufafanua aina ya ugonjwa maana wengi wanafahamu namna ugonjwa ulivyo na sio unavyoitwa

Ni aina ya kimelea kina sababisha ugonjwa kwene njia ya mkojo, mgongo, mapafu na ngozi mara nyingi n kigumu kitibika….
nadhan kikiwa kwene ngozi ndiyo donda ndugu
 
Ungejaribu kuelezea in details.

How come iko kimelea kinawezaje kuingia mwilini, Ni kwenye mazingira gani kinaweza kukupata? Dalili zipi za mwanzo ambazo unaweza kuhisi ni hiki kimelea?

Sio kila mtu anaufahamu ugonjwa unamzungumzia, Unaweza kuwa na Nia nzuri ili na Sisi wengine tuchukue tahadhari Ila the way ulivyoelezea seems hakuna ulichotusaidia.

Be Open.
 
Back
Top Bottom