Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Msaada hapo jamani, huyu kimelea staph Aureus hatibiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungesema kiswahili kimelea gani?Msaada hapo jamani! huyu kimelea staph Aureus hatibiki!
Ungesema kiswahili kimelea gani?
umejaribu kutuletea scientific name bro, jaribu kufafanua aina ya ugonjwa maana wengi wanafahamu namna ugonjwa ulivyo na sio unavyoitwa
Nenda hospitali kaka!!!Tiba ipo lakini baada ya vipimo vya athari kwenye ngozi!!!
Elezea basi shambulizi lake linakuwajeSijui kama hilo jina la huyu mdudu lina kiswahili
jishushe andika katika lugha ambayo kila mtu atakuelewa
Vancomycin mbona inareact vizuri kwa S A
Polee karudie kufanya C&SNishachomba mkuu imedunda
Polee karudie kufanya C&S
Daaah VANCO.Vancomycin mbona inareact vizuri kwa S A