Je, kuna mtu ameshawahi kupona Staphylococcus Aureus (MRSA) atupatie mbinu?

Msaada hapo jamani, huyu kimelea staph Aureus hatibiki.
Si rahisi kupata jibu la moja kwa moja, maana mambo haya/resistance wakati mwingine yanakuwa zonalwise.

Kwa wale wenye antimicrobial stewardship program kwa facility au zone wanaweza kuwa na jibu.

Hivyo, ni vyema kuchukua sample kabla ya kuanza dawa, au kama ulishatumia dawa badi iwe siku tatu mpaka wiki baada ya dawa.

Hii ifanyike under asceptic technique na C/S ifanyike. Itakupatia mwongozo mzuri.
 
Ni aina ya kimelea kina sababisha ugonjwa kwene njia ya mkojo, mgongo, mapafu na ngozi mara nyingi n kigumu kitibika….
nadhan kikiwa kwene ngozi ndiyo donda ndugu
Kama ni donda nduvu uwa kinatibika, kuna watu ninaowajua wawili wamehangaika na ivyo vidonda sio chini ya miaka 10 ila wakaja kuponeshwa kwa dawa za kienyeji na wamepona kabisa,
 
Hivyo, ni vyema kuchukua sample siku tatu mpaka wiki baada ya dawa.
Hii ifanyike under asceptic technique na C/S ifanyike. Itakupatia mwongozo mzuri.

mkuu unaonekana una uelewa wa haya mambo ebu tupe ufafanuzi zaidi
 
Kama ni donda nduvu uwa kinatibika, kuna watu ninaowajua wawili wamehangaika na ivyo vidonda sio chini ya miaka 10 ila wakaja kuponeshwa kwa dawa za kienyeji na wamepona kabisa,

niunganishe mkuu na hao watu
 
Si rahisi kupata jibu la moja kwa moja, maana mambo haya/resistance wakati mwingine yanakuwa zonalwise.

Kwa wale wenye antimicrobial stewardship program kwa facility au zone wanaweza kuwa na jibu.

Hivyo, ni vyema kuchukua sample kabla ya kuanza dawa, au kama ulishatumia dawa badi iwe siku tatu mpaka wiki baada ya dawa.

Hii ifanyike under asceptic technique na C/S ifanyike. Itakupatia mwongozo mzuri.

anti microbial stewardship program ndo nn mkuu,,,
na naweza zipata wap
 
mkuu unaonekana una uelewa wa haya mambo ebu tupe ufafanuzi zaidi

Tatizo la wadudu kujenga usugu kwenye dawa ni janga la kiulimwengu kwa sasa. Hii si kwa MRSA pekee.

Na tukumbuke hii huweza kuanzia sehemu yeyote na kwa mtu yeyote. Baada ya hapo maambukizi haya huweza kusambaa na usugu husika.

Kila eneo la dunia linakuwa na mfumo wake wa matumizi ya dawa na miongozo tofauti kidogo kulingana na uhalisia wa eneo husika. Ni umakini katika matumizi sahihi ya dawa ndo utakaotuokoa.

Hivyo, ni vyema kwa watoa huduma na watumia huduma za dawa kuzingatia miongozo ya utoaji dawa na matumizi.

Kwa kuzingatia hili, WHO inatoa wito kwa vituo vya afya husika au vya eneo husika kuendesha mfumo wa kuangalia/utambuzi wa mwenendo na matumizi sahihi ya dawa na uwezo wa dawa husika kwa wakati husika.
(Antimicrobial Stewardship Program)

Kwa kuwa ni gharama basi kamati zinaweza kuundwa na kupeana taarifa kutoka kituo kimoja na kingine kwa kuwezeshwa kamati husika na vitendea kazi.

Mtakuwa na uwezo wa kusema nini kitumike wapi na au kisitumike na kwa mtindo gani kulingana na hali halisi mnayoitambua ndani ya eneo lenu la kutoa huduma ya afya. Pamoja na kuzingatia miongozo mingine ya juu au chini yenu.
 
Kwa nini asitibike na ni bacteria tu, first line drugs zikifeli tumia second line drugs, nazo zikifeli nenda third line drugs, mfano cephalosporins 4th generation haishindwi na hizo takataka.

Hapa ndipo tunapokosea, resistance haifuati first line wala generations. Ni matumizi yasiyo sahii tu.

Hapa ndo tunakuta wagonjwa wa UTI wengi wamepanga foleni na Cefriaxone mkononi tukifikiri ni jibu mwafaka. NO

Unaweza kukuta mdudu amejenga usugu kwa 4th generation Cepharosporins LAKINI si nitrofurantoin. Wakati mwingine unaweza kuua tembo kwa ubua.

Angalia:
1: Time for treatment/muda (kwenda hospitali/kukaa hospitali/foleni kumwona daktari/uwiano wa idadi ya daktari kwa mgonjwa).

2: Economic stress/gharama
Gharama ya tiba/gharama ya kutokuzalisha pesa. Gharama ya kupata dawa mpya na ya gharama zaidi.

3: Morbidity/uremavu
Kwa wale ambao hali zao hazitatengemaa.

4: Mortality/vifo
Kwa wale ambao hawataweza kupona

Haya yote husababishwa kwa kumpitisha huyu mtu kwenye hizo dawa zote UNNECESSARILY.

Kumbuka kuna dawa hapo kesho utaihitaji kuitumia kwa mgonjwa wako akiwa ICU na isifanye kazi.

Tushirikiane na kulipa umuhimu hili, maana leo ni mgonjwa na kesho ni mimi wewe au ndugu yako anahusika pia.
 
Kwa hyo mkuu hapo unashaur nn
 
Ni aina ya kimelea kina sababisha ugonjwa kwene njia ya mkojo, mgongo, mapafu na ngozi mara nyingi n kigumu kitibika….
nadhan kikiwa kwene ngozi ndiyo donda ndugu
Hakina picha
 
Back
Top Bottom