harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
😊😊sÃsi ndiyo inatakiwa tupande kwa kutumia Google.jishushe andika katika lugha ambayo kila mtu atakuelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😊😊sÃsi ndiyo inatakiwa tupande kwa kutumia Google.jishushe andika katika lugha ambayo kila mtu atakuelewa
Hii dawa kiboko..ilinitibu U.T.IVancomycin mbona inareact vizuri kwa S A
Si rahisi kupata jibu la moja kwa moja, maana mambo haya/resistance wakati mwingine yanakuwa zonalwise.Msaada hapo jamani, huyu kimelea staph Aureus hatibiki.
Unachoma kwenye macho eti? kwa mujibu wa Ruzige
Daaah VANCO.
Hi dawa nimeijulia Muhimbili ile ya kuchoma kwa jicho[emoji26][emoji26][emoji26]
Kama ni donda nduvu uwa kinatibika, kuna watu ninaowajua wawili wamehangaika na ivyo vidonda sio chini ya miaka 10 ila wakaja kuponeshwa kwa dawa za kienyeji na wamepona kabisa,Ni aina ya kimelea kina sababisha ugonjwa kwene njia ya mkojo, mgongo, mapafu na ngozi mara nyingi n kigumu kitibika….
nadhan kikiwa kwene ngozi ndiyo donda ndugu
Si rahisi kupata jibu la moja kwa moja, maana mambo haya/resistance wakati mwingine yanakuwa zonalwise.
Kwa wale wenye antimicrobial stewardship program kwa facility au zone wanaweza kuwa na jibu.
Hivyo, ni vyema kuchukua sample siku tatu mpaka wiki baada ya dawa.
Hii ifanyike under asceptic technique na C/S ifanyike. Itakupatia mwongozo mzuri.
Kama ni donda nduvu uwa kinatibika, kuna watu ninaowajua wawili wamehangaika na ivyo vidonda sio chini ya miaka 10 ila wakaja kuponeshwa kwa dawa za kienyeji na wamepona kabisa,
Si rahisi kupata jibu la moja kwa moja, maana mambo haya/resistance wakati mwingine yanakuwa zonalwise.
Kwa wale wenye antimicrobial stewardship program kwa facility au zone wanaweza kuwa na jibu.
Hivyo, ni vyema kuchukua sample kabla ya kuanza dawa, au kama ulishatumia dawa badi iwe siku tatu mpaka wiki baada ya dawa.
Hii ifanyike under asceptic technique na C/S ifanyike. Itakupatia mwongozo mzuri.
mkuu unaonekana una uelewa wa haya mambo ebu tupe ufafanuzi zaidi
Kwa nini asitibike na ni bacteria tu, first line drugs zikifeli tumia second line drugs, nazo zikifeli nenda third line drugs, mfano cephalosporins 4th generation haishindwi na hizo takataka.anti microbial stewardship program ndo nn mkuu,,,
na naweza zipata wap
Kwa nini asitibike na ni bacteria tu, first line drugs zikifeli tumia second line drugs, nazo zikifeli nenda third line drugs, mfano cephalosporins 4th generation haishindwi na hizo takataka.
Mzee VANCO ipo inayochomwa kwenye macho nakumbuka Muhimbili, alipatiwa mwanangu baada ya kupata some infection baada ya operation. Mana kulikua na dalili macho kupata usahaUnachoma kwenye macho eti? kwa mujibu wa Ruzige
Hapa ndipo tunapokosea, resistance haifuati first line wala generations. Ni matumizi yasiyo sahii tu.
Hapa ndo tunakuta wagonjwa wa UTI wengi wamepanga foleni na Cefriaxone mkononi tukifikiri ni jibu mwafaka. NO
Unaweza kukuta mdudu amejenga usugu kwa 4th generation Cepharosporins LAKINI si nitrofurantoin. Wakati mwingine unaweza kuua tembo kwa ubua.
Angalia:
1: Time for treatment/muda (kwenda hospitali/kukaa hospitali/foleni kumwona daktari/uwiano wa idadi ya daktari kwa mgonjwa).
2: Economic stress/gharama
Gharama ya tiba/gharama ya kutokuzalisha pesa. Gharama ya kupata dawa mpya na ya gharama zaidi.
3: Morbidity/uremavu
Kwa wale ambao hali zao hazitatengemaa.
4: Mortality/vifo
Kwa wale ambao hawataweza kupona
Haya yote husababishwa kwa kumpitisha huyu mtu kwenye hizo dawa zote UNNECESSARILY.
Kumbuka kuna dawa hapo kesho utaihitaji kuitumia kwa mgonjwa wako akiwa ICU na isifanye kazi.
Tushirikiane na kulipa umuhimu hili, maana leo ni mgonjwa na kesho ni mimi wewe au ndugu yako anahusika pia.
Mzee VANCO ipo inayochomwa kwenye macho nakumbuka Muhimbili, alipatiwa mwanangu baada ya kupata some infection baada ya operation. Mana kulikua na dalili macho kupata usaha
Hakina pichaNi aina ya kimelea kina sababisha ugonjwa kwene njia ya mkojo, mgongo, mapafu na ngozi mara nyingi n kigumu kitibika….
nadhan kikiwa kwene ngozi ndiyo donda ndugu
Angalia post namba 28Kwa hyo mkuu hapo unashaur nn