Je, kuna mtu ameshawahi kupona Staphylococcus Aureus (MRSA) atupatie mbinu?

Boss huyo ni mdudu na anaweza sababisha magonjwa mbalimbali kutokana na sehemu ya mwili aliyopata nafasi ya kukaa, mpaka kumjua kuwa ni yeye basi watu wameshafanya kipimo cha culture na nadhani kwa kumalizia na sensitivity inaweza kuleta majibu sahihi ya dawa inayoweza tumika kumtibu kutokana na ugonjwa husika

Labda taja ugonjwa husika
 
Kwene uume, mgongo na kifua….
 
Yupo sehemu Gani mdudu...? (Ni kidonda ama UTI sugu ama mahoma ya damuni ama nn??)

Na nani alikwambia una MRSA?

dawa zipi ulitumia kabla ya kupewa vancomycin?

Dawa hizo ulitumia baada ya kufanya kipimo Cha culture and sensitivity?

au ushapona? maana naona upo ila haurespond chochote...
 
UTI,,,,
No dawa nyingi sana!! baada ya culture dawa zote zilizoandikwa kua yuko sensitive nilimaliza
 
Back
Top Bottom