Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,114
Reaction score
6,309
Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.

Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).

Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?

Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.

Tafadhali toa hoja sio vitisho!
 
Ni stori stori tu za masimulizi ambazo zimeshajenga hofu na utamaduni kwenye jamii, kila unayemuuliza anasema alisikia Tu, sasa aliyeona na kushuhudia ni nani
 
Hakuna uchawi ni stories za kijinga tu , na hilo la kupotea kwa nyeti limebumburuka kwa sababu fahamu za watu wengi kwa sasa zimeamka sana, hebu fikiri kipindi cha nyuma hakuna elimu kubwa kwa watu ni jinsi gani walivyokuwa wanajidanganya🤔
 
Ni stori stori tu za masimulizi ambazo zimeshajenga hofu na utamaduni kwenye jamii, kila unayemuuliza anasema alisikia Tu, sasa aliyeona na kushuhudia ni nani
Inaweza kuwa ni story tu, ila pale jamii zaidi ya moja ambazo hazina historia ya kukutana aidha kwa biashara au sababu yoyote zinapo ongelea hicho kitu unaanza kuwaza huenda kukawa na ukweli maana kwa nini wawe na wazo moja
 
kwa africans na asians, wengi wetu ndo utakuta bado tunaoamini katika hii inayoitwa uchawi.

Hii ni kwa sabb wengi tumekua tangu utotoni tukiaminishwa hivyo, so hata tukiwa grown-up bado tu tunajikuta tunaamini (wachache mno walioweka logic na mantiki zao vizuri na kugundua huu ni upuuzi tu)

mtu wa afrika na asia, chochote ambacho hakifahamu na akashindwa kukielewa na kukielezea, basi hutafuta excuse na kusema huu ni" "uchawi"

So, ni excuse inayotumiwa na watu, pindi wakichoka kufikiri critically, ku-reason na kutafuta the possible causes.
 
Inaweza kuwa ni story tu, ila pale jamii zaidi ya moja ambazo hazina historia ya kukutana aidha kwa biashara au sababu yoyote zinapo ongelea hicho kitu unaanza kuwaza huenda kukawa na ukweli maana kwa nini wawe na wazo moja
Zamani watu walikua wana amini magonjwa yanatokana na hewa chafu wanayoivuta( Miasma theory) na waliamin kwa mamia ya miaka.

Germ theory ikaja batilisha na kutoa sababu za magonjwa mbalimbali.
 
Hakuna uchawi ni stories za kijinga tu , na hilo la kupotea kwa nyeti limebumburuka kwa sababu fahamu za watu wengi kwa sasa zimeamka sana, hebu fikiri akipindi cha nyuma hakuna elimu kubwa kwa watu ni jinsi gani walivyokuwa wanajidanganya🤔
Kabisa mkuu sasa hivi Kuna wadau wanasanuka kwenye haya masuala ya ujinga ujinga inaelekea Kuna watu wameuwawa kikatili sana kama wazee wa vijijin wale wenye macho mekundu.

Mbona tarehe 29 ndugu za watu wa pande especially nyanda za juu kusini wamezimishwa hao wachawi hamna kitu wamefanya zaidi ya vitisho tu.
 
Wasiojulikana wametamba Nchi nzima😆😀
Sikuoni kazi ya wachawi wamemsaidia vipi maana wanaodai wanaweza kumyeyusha mtu kwa radi
 
Back
Top Bottom