Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

na baadhi ya magonjwa yalikuwa yanasambazwa kwa hewa, hawakujua chanzo chake au njia ipi hasa ya hewa ila waliona watu wakizidi kuambukizwa kwa kuvuta hewa, hivyo sio kila kinachosemwa kiwe na uongo moja kwa moja huenda uchawi upo ila njia ya kuwasilisha ili ueleweke ndio kuna changamoto
Hiyo Miasma ilikua inaongelea kwamba ,harufu mbaya ni chanzo cha ugonjwa , hata Figo zikifeli ni harufu mbaya😁

Tuje kwenye issue ya ukimwi tena, watu walijua ni ugonjwa wa kulogwa na wengine walileteana ugomvi mkubwa sana , na waganga wa kienyeji walitumia kama sababu ya kuwa ni fulani kakuloga

Je kama uchawi upo kwa nini haukutambua issue ya ukimwi?
 
Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.

Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).

Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?

Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.

Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Uchawi kwa tafsiri yako ni nini.

Ili watu wajue wanajibu nini katika hili swali lako
 
Dini ipo je? Imani za kishirikina zipo je na zinasambaa aje?

Watu wanajifunza kutokana na interaction that's why.
Toka zamani binadamu alijaribu kgundua jinsi mwili wa binadamu,dunia na ulimwengu mzima unavyofanya kazi, hivyo uchawi ni aina moja ya mawazo kwenye jamii ku guess nini kinaendelea kwenye dunia, ila approach zinakuwa tofauti kadri karne zinavyoenda kwa sasa mathematic approach ndio inatumika sana
 
Unaweza kuthibitisha tukio ambalo Lina onesha uwepo wa uchawi zaidi ya stori.
Unapoona fisi mwenye hirizi na plate namba ameuawa na vikosi vya polisi mkoani Simiyu huwa unaelewa nini?
Unapoona ITV mtu aliyekufa miaka mingi ameonekana tena mkoani Kigoma huwa unaelewa nini kwenye kichwa chako? Ebu ingia you tube ujifunze zaidi. Nyie wazaliwa wa Kinondoni ni much know sana.
 
Tuletee uthibitisho wa hizo habari hapa sio stori.
 
Hiyo Miasma ilikua inaongelea kwamba ,harufu mbaya ni chanzo cha ugonjwa , hata Figo zikifeli ni harufu mbaya😁

Tuje kwenye issue ya ukimwi tena, watu walijua ni ugonjwa wa kulogwa na wengine walileteana ugomvi mkubwa sana , na waganga wa kienyeji walitumia kama sababu ya kuwa ni fulani kakuloga

Je kama uchawi upo kwa nini haukutambua issue ya ukimwi?
Hizi tunaweza kusema ni matumizi mabaya ya elimu hyo kwa ku exploit weakness za mtu ambazo hata sasa zinafanyika watu wanatumia psychology evaluation ku exploit watu, pia na watu ambao hawana elimu vizuri na wakitaka kujifanya wanajua
 
Hakuna uchawi ni stories za kijinga tu , na hilo la kupotea kwa nyeti limebumburuka kwa sababu fahamu za watu wengi kwa sasa zimeamka sana, hebu fikiri akipindi cha nyuma hakuna elimu kubwa kwa watu ni jinsi gani walivyokuwa wanajidanganya🤔
Unapoona fisi mwenye hirizi na plate namba ameuawa na vikosi vya polisi mkoani Simiyu huwa unaelewa nini?
Unapoona ITV mtu aliyekufa miaka mingi ameonekana tena mkoani Kigoma huwa unaelewa nini kwenye kichwa chako? Ebu ingia you tube ujifunze zaidi. Nyie wazaliwa wa Kinondoni ni much know sana.
 
Unapoona fisi mwenye hirizi na plate namba ameuawa na vikosi vya polisi mkoani Simiyu huwa unaelewa nini?
Unapoona ITV mtu aliyekufa miaka mingi ameonekana tena mkoani Kigoma huwa unaelewa nini kwenye kichwa chako? Ebu ingia you tube ujifunze zaidi. Nyie wazaliwa wa Kinondoni ni much know sana.
Kitu usichokijua watafiti wa wanyama pori , huwavisha wanyama hereni masikioni, au mkanda shingoni na Mark nyingine tu , kama kuweka alama , ili kufuatilia mienendo ya mnyama huyo

Wengine wanafanya hivyo ili kuweka alama kwa wanyama ambao wamepatiwa kinga za magonjwa au chanjo fulani

Sio fisi tu ukitalii utaona mpaka kwa chui , nyati na wengine wengi.
 
Kitu usichokijua watafiti wa wanyama pori , huwavisha wanyama hereni masikioni, au mkanda shingoni kama kuweka alama , ili kufuatilia mienendo ya mnyama huyo

Wengine wanafanya hivyo ili kuweka alama kwa wanyama ambao wamepatiwa kinga za magonjwa au chanjo fulani

Sio fisi tu ukitalii utaona mpaka kwa chui , nyati na wengine wengi.
Nyie ni much know sana ndio maana watu huwapuuza tu. Fisi mwenye hirizi na plate namba anayefanyiwa utafiti polisi watamuwinda kumuuwa?
 
Nimeishi maporini, Tanzania hata lami hakuna miaka ya 96 huko , watu walikua wana kuta fisi ana hereni masikioni wanadai ni fisi wa kichawi , kumbe ni wageni kutoka nnje wanaweka alama zao tu kufanya tafiti kwa wanyama

Hakuna cha u much know, uchawi ni blabla za kijinga tu , naweza kupa mifano 1000 ya mambo yaliyokuwa yana aminiwa ni uchawi ikaja bainika ni kitu kingine .
 
Nimeishi maporini, Tanzania hata lami hakuna miaka ya 96 huko , watu walikua wana kuta fisi ana hereni masikioni wanadai ni fisi wa kichawi , kumbe ni wageni kutoka nnje wanaweka alama zao tu kufanya tafiti kwa wanyama

Hakuna cha u much know, uchawi ni blabla za kijinga tu , naweza kupa mifano 1000 ya mambo yaliyokuwa yana aminiwa ni uchawi ikaja bainika ni kitu kingine
Na mara nyingi watu wakishindwa kuelezea jambo either kisayansi ndio huamini haya masuala ya uchawi.
 
Toka zamani binadamu alijaribu kgundua jinsi mwili wa binadamu,dunia na ulimwengu mzima unavyofanya kazi, hivyo uchawi ni aina moja ya mawazo kwenye jamii ku guess nini kinaendelea kwenye dunia, ila approach zinakuwa tofauti kadri karne zinavyoenda kwa sasa mathematic approach ndio inatumika sana
Kweli na curiosity ndio imepelekea haya yote.
 
Pole sana mtoa post

Siku yakikukuta utarudi kivingne

Ushauri: tambua kuwa YESU YU HAI, NA WEWE UWE HAI
tumia muda mwingi kutafiti na kuijua kweli na nguvu za nuru ili ujue huduma au wito uliopo ndani yako..
 
Back
Top Bottom