Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

Labda nikuitie poti UMUGHAKA tokea pande za Mogabiri kule tunakonunua ndizi sisi majirani, AJE AKUTHIBITISHIE!
Mkuu huyo mleta mada inapaswa aeleze anatafuta uchawi wa namna gani?,Yeye anadhani uchawi unashikika?au anadhani mtu mchawi anajitangaza?

Anaenda kwa waganga matapeli wanamlia hela halafu anasema uchawi haupo?,Ni kama mademu ambao wanatendwa na wanaume vichaa kisa anasema "Wanaume wote ni sawa"

Uchawi ni siri,Mchawi hawezi kukwambia yeye ni mchawi!

Bahati nzuri nimeishi na kuyashuhudia hivyo ninasema UCHAWI UPO
 
Mkuu unaweza kuthibitisha tukio/issue ya uchawi ambayo itatupa majibu mazuri ya research yetu?
 
Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.

Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).

Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?

Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.

Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Mimi nilijaribu sana kutafuta ukweli huu na sikufaniliwa.Kuna wakati niliwahi kuishi Namanyere na niliandika uzi mmoja mrefuu wa maisha yangu huko.Kipindi hicho kulivuma habari kwamba Ali Mabodi na Roki Mwanamyoto ambao walikuwa marafiki mno,kwamba ni wachawi wakubwa na walikuwa wanaogopwa mkoa mzima.Huyo Ali Mabodi wengi mnamfahamu kwa jina la Ali Kessy na aliwahi kuwa mbunge wa Nkasi.Hao watu walikuwa wanaogopwa na kuna hadithi nyingi sana juu yao.Watu walikuwa hawashikani nao mkono.Mimi nilishikana na Ali mkono na mji mzima ikawa gumzo lakini sijaona chochote kuthibitisha uchawi wao
 
Wazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.

Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).

Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?

Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.

Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Uchawi upo na wachawi wapo ila siyo kwa jinsi ambayo wanasimulia watu.kua mchawi anaweza kupita kwenye pembe ya ukuta au mchawi anaweza kuruka na ungo au mchawi anaweza akakuonyesha mbaya wako kwenye kibuyu Kisha akamchoma kisu akafa la hasha uchawi Auko hivyo.Uchawi ni Elimu ya kuogofya watu ndiyo maana ukienda kwa mchawi lazima kwanza akuweke Ktk mazingira ya kumuogopa na ikiwezekana Dawa na mazindiko lazima mkafanye msituni au kwenye mapango makubwa hayo yote nikujenga mazingira ya kukuibia.Ukisikia mtu anaitwa mchawi ujue fika kabisa huyo mtu ni mtu mwenye Roho mbaya ,kukuwekea sumu kwenye chakula kwake ni kazi ndogo sana.Pia wachawi wanashirikiana wanapotaka kumdhuru mtu wanatumia njia zakimafia kumfikia muhusika nakupanga mipango mbali mbali itakayo weza kumuangamiza muhusika.Kuna wachawi ambao wanauwezo wakufuga Simba na fisi nakuwatuma kwenda kufanya uharibufu na madhara kwa walengwa wao, hiyo ni Elimu na science ya Mila natamaduni za Koo Fulani.Nasikia Kuna wataalamu wakutengeneza Radi ila Hilo sikubaliani nalo ila wapo wataalamu wanaweza kukuletea nyuki nyumbani kwako hao wapo,Mchawi anaweza kuwa mtu wa Dini yoyote au hata asiye na dini.ukiambiwa mtu ni mchawi kama naye mbali kwani anaweza kukudhuru bila sababu yoyote Bali tu nikwasababu ya Roho yake mbaya
 
Uchawi upo na wachawi wapo ila siyo kwa jinsi ambayo wanasimulia watu.kua mchawi anaweza kupita kwenye pembe au mchawi anaruka na uongo au mchawi anaweza akakuonyesha mbaya wako kwenye kibuyu Kisha akamchoma lisu akafa la haha uchawi Aiko hivyo.Uchawi ni Elimu ya kuogofya watu ndiyo maana ukaenda kwa mchawi lazima kwanza akuweke Ktk mazingira ya kumuogopa na ikiwezekana Dawa na mazindiko lazima mkafanye msituni au kwenye mapango makubwa hayo yote nikujenga mazingira ya kukuibia.Ukisikia mtu anaitwa mchawi ujue fila kabisa huyo mtu ni mtu mwenye Roho mbaya ,kuwekeza simu kwenye chakula kwake ni kazi Mdogo sana.Pia wachawi wanashirikiana wanapotaka kumdhuru mtu wanatumia njia zakimafia kumfikia muhusika nakupanga mipango mbali mbali itakayo weza kumuangamiza muhusika.Kuna wachawi ambao wanauwezo wakufugwa Simba na fisi nakuwatuma mahali ni kwenda kufanya uharibufu hiyo ni Elimu na science ya Mila natamaduni za Koo Fulani.Nasikia Kuna wataalamu wakutengeneza Radio ila Hilo sikubaliani nalo ila wapo wataalamu wanaweza kukuletea nyuki nyumbani kwake hao wapo,Mchawi anaweza kuwa mtu wa Dini yoyote au hata asiye na dini.ukiambiwa mtu ni mchawi kama naye mbali kwani anaweza kukudhuri bila sababu yoyote Bali tu nikwasababu ya Roho yake mbaya
habari hizi umetoa wapi mkuu
 
Back
Top Bottom