Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Ni stori stori tu za masimulizi ambazo zimeshajenga hofu na utamaduni kwenye jamii, kila unayemuuliza anasema alisikia Tu, sasa aliyeona na kushuhudia ni naniWazee, I'm curious kufahm hili jambo kwa undani zaidi. Nimetembea hadi Sumbawanga nikitafuta uhalisia wa mambo haya, lakini nilichokutana nacho ni simulizi tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha uwepo wa uchawi.
Inanifanya nione kama hii ni sawa na stori za wanaume kuibiwa nyeti zao zinaenea sana kwa maneno, lakini ukichunguza kwa karibu, unakosa uthibitisho wa wazi na inaonekana ni oketo(ujinga).
Sasa nauliza tena kwa uwazi:
Uchawi upo kweli, au ni simulizi tu zinazojengwa na hofu, imani, au mazingira ya jamii?
Kwa upande wangu binafsi, ninaelekea kuamini kuwa ni stori tu lakini niko tayari kusikia uzoefu au ushahidi kutoka kwa yeyote aliyewahi kushuhudia hili jambo moja kwa moja.
Tafadhali toa hoja sio vitisho!
Inaweza kuwa ni story tu, ila pale jamii zaidi ya moja ambazo hazina historia ya kukutana aidha kwa biashara au sababu yoyote zinapo ongelea hicho kitu unaanza kuwaza huenda kukawa na ukweli maana kwa nini wawe na wazo mojaNi stori stori tu za masimulizi ambazo zimeshajenga hofu na utamaduni kwenye jamii, kila unayemuuliza anasema alisikia Tu, sasa aliyeona na kushuhudia ni nani
Maandiko Yana nini mzee zaidi ya simulizi za Dunia iliangamizwa yote, na miujiza ambayo Haina uthibitisho?Sasa hata Maandiko ya dini zote hujasoma?.
Anyway kama unataka msaada wa kiganga njoo inbox nikusaidie.
Uchawi ni kudhuru
Hamna na watu baadhi ya watu nadhani wanapiga pesa sana kwenye hii issue ya masuala ya uchawiNi stori stori tu za masimulizi ambazo zimeshajenga hofu na utamaduni kwenye jamii, kila unayemuuliza anasema alisikia Tu, sasa aliyeona na kushuhudia ni nani
Zamani watu walikua wana amini magonjwa yanatokana na hewa chafu wanayoivuta( Miasma theory) na waliamin kwa mamia ya miaka.Inaweza kuwa ni story tu, ila pale jamii zaidi ya moja ambazo hazina historia ya kukutana aidha kwa biashara au sababu yoyote zinapo ongelea hicho kitu unaanza kuwaza huenda kukawa na ukweli maana kwa nini wawe na wazo moja
Wanapiga pesa kweli kwa sababu ya utapeli kuwaaminisha watu vitu ambavyo havipoHamna na watu baadhi ya watu nadhani wanapiga pesa sana kwenye hii issue ya masuala ya uchawi
Kabisa mkuu sasa hivi Kuna wadau wanasanuka kwenye haya masuala ya ujinga ujinga inaelekea Kuna watu wameuwawa kikatili sana kama wazee wa vijijin wale wenye macho mekundu.Hakuna uchawi ni stories za kijinga tu , na hilo la kupotea kwa nyeti limebumburuka kwa sababu fahamu za watu wengi kwa sasa zimeamka sana, hebu fikiri akipindi cha nyuma hakuna elimu kubwa kwa watu ni jinsi gani walivyokuwa wanajidanganya🤔
Wasiojulikana wametamba Nchi nzima😆😀Kabisa mkuu sasa hivi Kuna wadau wanasanuka kwenye haya masuala ya ujinga ujinga inaelekea Kuna watu wameuwawa kikatili sana kama wazee wa vijijin wale wenye macho mekundu.
Mbona tarehe 29 ndugu za watu wa pande especially nyanda za juu kusini wamezimishwa hao wachawi hamna kitu wamefanya zaidi ya vitisho tu.
Mazingaombwe ni mengi mjini watu wenye hii sana wanapiga mpunga mno. Relationship kati ya mizimu na matibabu ni ipi.Wanapiga pesa kweli kwa sababu ya utapeli kuwaaminisha watu vitu ambavyo havipo
Akikujibu nishtueUnaweza kuthibitisha tukio ambalo Lina onesha uwepo wa uchawi zaidi ya stori.
uchawi ulishindwa mdhuru mkoloniUchawi ni kudhuru
Uchaguzi kule Pemba watu walichezea mkong'oto wa kufa mtu, wale wataalam wanajiita mashekhe na maustadhi eti wanaenda kusoma albadir hamna kitu😆😆Mazingaombwe ni mengi mjini watu wenye hii sana wanapiga mpunga mno. Relationship kati ya mizimu na matibabu ni ipi.