Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Wapo wanaume wasiochepuka ila wengi ni wenye umri kuanzia miaka 40 na kupanda hao ndo wanatosha kwenye hii mada yako, ambapo ni kwamba chini ya umri huo anakuwa amefanya uwindaji wa aina zote halali na haramu akiamua kutulia na mwanamke mmoja wengi wao hutulia kabisa, ila ndo sio wote wengine huendeleza kujitutumua mpaka uzeeni na wengi wao huzeeka kwa aibu sana.

Hakuna tuzo kwenye kubadili wanawake, watajisifia ndo uanaume lakini waliofanya hizi mambo ukiongea nao katika umri wao wa uzee wanajutia sana muda waliopoteza.
Ni kweli 40+ uchepukaji unapungua Sana hata ikitokea kwa mwaka haizidi mara kumi hasa kipindi hiki Cha uchumi wa Kati!
 
Ni kweli 40+ uchepukaji unapungua Sana hata ikitokea kwa mwaka haizidi mara kumi hasa kipindi hiki Cha uchumi wa Kati!
Wapo wanaoacha kabisa, na wanawake tuliokomaa kimtizamo tunapenda wanaume umri huo maana shughuli wanaiweza na kiasi chake wanao uelewa wa mahusiano
 
Zizini kunakuwaga na uwiano wa dume moja la ng'ombe majike manne hadi matano na dume anawahudumia wote so hyo ni nature mwanaume hachepuki Bali ni LAW OF NATURE kuwahudumia wanawake wengi kadir tuwezavyo lakini wanawake si ruhusa na wakijarbu ndo chanzo cha magonjwa ya ngono
 
Hudumie wanawake single sio wake za watu!
 
Zizini kunakuwaga na uwiano wa dume moja la ng'ombe majike manne hadi matano na dume anawahudumia wote so hyo ni nature mwanaume hachepuki Bali ni LAW OF NATURE kuwahudumia wanawake wengi kadir tuwezavyo lakini wanawake si ruhusa na wakijarbu ndo chanzo cha magonjwa ya ngono
Hata sisi sio nature yetu kuwa na dume moja tu.
 
Hapa umeongea broo sijui kwa nini wake za watu hua wanajirahisisha lakini tunajitahid mimi na masingo boiz wenzangu ukizingatia wanawake wazuri na wenye pesa wapo kibao
Wake za watu wanakuwa washachoshana huko ndoani wanatafta relief nje ya ndoa!
 
Hata sisi sio nature yetu kuwa na dume moja tu.
😂😂 Nlimsikilza Chriss Mauki akizungumzia saikolojia ya mwanamke katka mahusiano huwa wanapenda mwanaume bila sababu na hyo kuwafanya mmoja tu atawale akili zao tofauti na wanaume ambao hua tunapenda huyu kwa sababu ya Umbo, Yule sura kazuri, Yule kifua chenye mvuto, yaan ili mradi fujo tu kuanzia hapo sasa ndo Tunaanza yetu
 
[emoji23][emoji23] Nlimsikilza Chriss Mauki akizungumzia saikolojia ya mwanamke katka mahusiano huwa wanapenda mwanaume bila sababu na hyo kuwafanya mmoja tu atawale akili zao tofauti na wanaume ambao hua tunapenda huyu kwa sababu ya Umbo, Yule sura kazuri, Yule kifua chenye mvuto, yaan ili mradi fujo tu kuanzia hapo sasa ndo Tunaanza yetu
Mmh ,mbona mi always nina sbb? Mauki anazingua

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wengi sikuhizi hawawezi kutoa huduma pale unapohitaji! Aidha akuzungushe wee akukate mood kabisa. We have a very short term endurance katika haya maswala. Ukiwa ignored 2-3 times in a row you actually start seeking for relief outside
Hili in tatizo,ila bado sielewi shida ni nini?

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom