Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Ni kweli 40+ uchepukaji unapungua Sana hata ikitokea kwa mwaka haizidi mara kumi hasa kipindi hiki Cha uchumi wa Kati!
 
Ni kweli 40+ uchepukaji unapungua Sana hata ikitokea kwa mwaka haizidi mara kumi hasa kipindi hiki Cha uchumi wa Kati!
Wapo wanaoacha kabisa, na wanawake tuliokomaa kimtizamo tunapenda wanaume umri huo maana shughuli wanaiweza na kiasi chake wanao uelewa wa mahusiano
 
Zizini kunakuwaga na uwiano wa dume moja la ng'ombe majike manne hadi matano na dume anawahudumia wote so hyo ni nature mwanaume hachepuki Bali ni LAW OF NATURE kuwahudumia wanawake wengi kadir tuwezavyo lakini wanawake si ruhusa na wakijarbu ndo chanzo cha magonjwa ya ngono
 
Hudumie wanawake single sio wake za watu!
 
Hata sisi sio nature yetu kuwa na dume moja tu.
 
Hapa umeongea broo sijui kwa nini wake za watu hua wanajirahisisha lakini tunajitahid mimi na masingo boiz wenzangu ukizingatia wanawake wazuri na wenye pesa wapo kibao
Wake za watu wanakuwa washachoshana huko ndoani wanatafta relief nje ya ndoa!
 
Hata sisi sio nature yetu kuwa na dume moja tu.
😂😂 Nlimsikilza Chriss Mauki akizungumzia saikolojia ya mwanamke katka mahusiano huwa wanapenda mwanaume bila sababu na hyo kuwafanya mmoja tu atawale akili zao tofauti na wanaume ambao hua tunapenda huyu kwa sababu ya Umbo, Yule sura kazuri, Yule kifua chenye mvuto, yaan ili mradi fujo tu kuanzia hapo sasa ndo Tunaanza yetu
 
Mmh ,mbona mi always nina sbb? Mauki anazingua

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wengi sikuhizi hawawezi kutoa huduma pale unapohitaji! Aidha akuzungushe wee akukate mood kabisa. We have a very short term endurance katika haya maswala. Ukiwa ignored 2-3 times in a row you actually start seeking for relief outside
Hili in tatizo,ila bado sielewi shida ni nini?


Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…