Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Wanaosababisha uchepuke ni mkeo,mfano,anaanza kukupa mashariti ya haki yako unyumba anakupa cku anayo jickia,sasa kama mwanaume kutulza makelele unaamua kutafuta mchepuko ambao unapo taka mda wowote unapata
 
Huyo atakayeniita hanisi ahakikishe ni pisi kali na niletee niichakate then arudishe majibu hapa.
[emoji16]

Kwahiyo kumbe pisi kali ikikuletea unaichakata, na bado unajidai huchepuki…funny uh..!!
 
Sisi wajasiriamali wa ufugaji wa kuku tunashauriwa jogoo moja kwa mitetea kumi, so applies to us humans[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa Raha zangu, wenye wivu mjinyonge
Haya! lkn ndo ushafinywa.......
umekutana na a big time player....
mtoto ushadanganywa........
kwamba 1+1=11 na sio 2.....
Mpe hongera mumeo.......
manake na Mimi nakitamani kipawa cha usanii kama chake lkn sijafikia bado
mtoto kapigwa kamba huyu mpaka haoni
 
Endelea kuteseka, 😏😏😏
 
Ngoja na mm niteme kidogo.
Kutochepuka inawezekana, since nimeoa nilichepuka siku moja 2019 dec hivi, hio siku sitokaa nilisahau, nilikosa raha, nilimuonea huruma mke wangu, nilikua na utaratibu kwa kusali kila jioni na familia yangu, karibu miezi miwili yote sikuweza tena. Nilikua na hatia sana. Since then nikajiapiza sitokaa nifanye vile. Na sijawahi tena, simaanishi sitamani lkn namshukuru Mungu ananisaidia kushinda vishawishi vyote.

By experience, ukiwa na mchepuko huwezi kufurahia ndoa yako, utakua hujiamini, matumizi makubwa ya pesa, ratiba kubadirika kabisa, na wakati mwingine mgonjwa. Raha ya tendo la ndoa kwa mkeo litapungua, huwez kumfurahia coz utakua unamfananisha na show za nje, na hawa wanawake wengi wakijua umeoa utapewa vitu utasahau familia. Watoto wako watateseka.

Ewe Mwanaume, umebeba vision na future ya familia yako (watoto), kuchepuka kunakuletea laana, kukupunguzia kipato na migogoro katika familia.

In God we trust.
 
Be blessed
 
AMEN
 
Kwani kuchepuka inawahusu hata wasio kwenye ndoa? Fafanua kwanza hapo ili tujipime.
Yaani unaweza ukawa hujaoa lakini una mpenzi mmoja ambaye mahusiano yenu yako wazi lakini bado unapiga pembeni na hao wa pembeni hawajulikani....bado ni kuchepuka pia.... Mungu atusamehe wanaume
 
Wapo, wale walioolewa
 
Wapo kuna watu sex sio kipaumbele lwa hiyo basi hamna namna ya wewe kucheat .
 
Mkuu huu ni mtizamo wako binafsi,kuna factor nyingi sana ambazo zinaweza kumfanya mtu asichepuke ikiwemo Imani,uamuzi binafsi nk.Even Under 40 wanaume waliotulia wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…