Je, kuna mwanaume asiyechepuka?

Natasekaje hapa kwa story yako na mumeo wa kufikirika hachepuki are you mad!!??
hahaha unachekesha
Utajiju😏😏 ukitaka kunikomesha vizuri mpe na wewe ili uniumbue😂😂😂
 
Natasekaje hapa kwa story yako na mumeo wa kufikirika hachepuki are you mad!!??
hahaha unachekesha
Unachekesha niteseke kwa kipi.....
kwa ushuzi wako ulioandika!!!
Endelea kuwashwashwa
 
Mungu ni shahidi yangu tangu nimefunga ndoa ni mwaka wa 6 sasa sijachepuka hata siku moja.

Lakini niseme ukweli, miongoni mwa mambo magumu sana kwa wanaume ni hili. Inahitaji maturity ya hali ya juu na kuogopa Mungu. Inafikia wakati ile asili ya uanaume inakuzidi nguvu.

Tunaomba mtuombee kwa kweli hali ngumu sijui itakuwaje. Mwanaume walau uwe na wanawake 2, mmoja ni mateso sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo sisi inatuhusu nini tukuombee kwani siye ndugu zako
 
Wapo wasiochepuka, but wachache mno. Katika 100 inawezekana 10 wasiochepuka, na 90 wachepukaji.
Hakuna mwanaume ambaye hachepuki labda kama nguvu za kiume hana, watoto wazuri walivyozagaa hivi na hawahitaji nguvu ya kushawishi wanaume tujizuie kukaa nyumba kubwa big no
 
Mungu unayemuabudu akukumbuke wewe na uzao wako. Be blessed.
 
Yaani idadi yote ya wanawake nibaki na mmoja tu haiwezekani kuliko ioze bora nimpe jirani aikalie
 
Hiyo labda wewe,mke nae na nafurahia ndoa plus michepuko ya kutosha,maisha ni mazuri ukiwa na mchepuko
 
Mimi kuna michepuko miwili huwa inajua mpka natamani nimuhadithie wife
Umuadithie ajifunze au??? Me michepuko nakutanaga nayo show mbovu sijui why...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ni mmoja tu alinionesha makali kuzidi nilienae... mpaka kuchepuka naona ni kujichosha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…