Je, kuna namna Kiboko ya Wachawi anaweza kuletwa tena Tanzania ili afunguliwe mashitaka ya utapeli?

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .

1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu?

2. Je, sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?

3. Kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja?

4. Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?

USSR
 
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .

1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?

2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?

3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?

4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?

USSR
Mzee wa soviet hebu nipe kidogo za huyo Erasmos Mapanga ndo yule kama mbabu babu au
 
Kuna mahali walizinguana,walikua wanakula naye
 
Yule jamaa ana pigo za kike sana , huwezi kushindana na serikali ukashinda, wakikutaka popote wanakuokota kama nazi tu
Huyu jamaa watanzania huwa nawashanga sana
Mtu kaanza kuuza vipodozi tena kwa magendo mpaka akashtukiwa...mara kawa nabii 😄
Hivi watu wanashindwa kuchuja mambo na kuelewa
Huyu mtu tokea mwanzo tulikuwa tunawambia siyo watu tu hawasiki hawaambiliki
Alafu kesi hizi za mambo ya kiimani huwa ni ngumu kumshtaki mtu maana,yeye atakuambia mimi sijawalazimisha kuja

Ova
 
Akithibitika mahakamani ana makosa awaweza kukamatwa popote atakapokuwepo.
Hamna kitu,huyo kashakula kona na anajuwa hakuna wa kumrudisha
Ashajipigia pesa zacwajinga

Oca
 
Ndo ishatoka hiyo, wabongo hadi masikio yatoke damu ndo wataelewaga, atakuja mwingine kuungana na walipo kina mwampoja na atakula huku anawapa miujiza na ahadi na kutembea tena!
 
Ameamua kuwatukana kabisa
 
Attachments

  • EagleTip__20240830__1829517312753275286_1_18295172390426296340.mp4
    2.9 MB
Yule jamaa ana pigo za kike sana , huwezi kushindana na serikali ukashinda, wakikutaka popote wanakuokota kama nazi tu
Sio serikali ya Tanzania ambao wanashindwa kesi kila siku tunaishia kulipa mabilioni ya mikataba mibovu
 
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .

1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?

2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?

3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?

4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?

USSR
Mimi naona wamwache tu maana watanzania wanapenda kutapeliwa. So, wamwache na wengine waje watapeli mpaka siku akili ikiwakaa sawa.
si manabii, si fake FX gurus, si akina sijui wekeza mfano manguruwe, kalynda and the like na bado hawakomi.
Ngoja na mimi nifikirie formula yangu nije.
 
Unasema kuwa kwa sasa ndo umejua kuwa alikua Nabii feki?kwa maana hiyo we bado kuna watu wengine wanajiita manabii zama hizi na unaamini siyo feki? Hujachoka tu kutapeliwa?

wajinga alio watapeli wanatakiwa waumie hivyo hivyo bila kusaidiwa kwa chochote ili akili zikae sawa
 
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .

1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?

2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?

3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?

4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?

USSR
Ngumu sana hiyo, tupambane na hawa wezi watanzania wenzetu wanaoendelea kuwaadaa watu kila kukicha.
 
Huyu jamaa watanzania huwa nawashanga sana
Mtu kaanza kuuza vipodozi tena kwa magendo mpaka akashtukiwa...mara kawa nabii 😄
Hivi watu wanashindwa kuchuja mambo na kuelewa
Huyu mtu tokea mwanzo tulikuwa tunawambia siyo watu tu hawasiki hawaambiliki
Alafu kesi hizi za mambo ya kiimani huwa ni ngumu kumshtaki mtu maana,yeye atakuambia mimi sijawalazimisha kuja

Ova
Kafanya mpaka biashara ya kuuza kuku, ila bado alipogeuka kuwa nabii kawapiga watu mchana kweupe.
 
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .

1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?

2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?

3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?

4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?

USSR
Kula chuma hicho
 
Huyo alitakiwa kuwa mpole ila kwakuwa anataka sifa anachokifanya kwasasa ndo ile inaitwa KUNYEA KAMBI, nawatu roho inawauma kweli kwajinsi anavyotuona wabongo wote hatuna akili, mpunga ukikata ndo atajua, labda nahuko awaokote
 
Back
Top Bottom