Je, kuna namna Kiboko ya Wachawi anaweza kuletwa tena Tanzania ili afunguliwe mashitaka ya utapeli?

Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .

1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?

2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?

3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?

4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?

USSR
Jibu ni kwamba inawezekana. Kama yupo/wapo waliotapeliwa basi waende mahakamani.
 
Alikuwa anatoza gharama ya kutoa huduma (consultation fee), sasa ametapeli vipi? Na hata fomu alikuwa anasainisha kabisa.
 
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .

1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?

2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?

3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?

4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?

USSR
Tunaposema Usalama wa Taifa kazi yao kuhangaika na Chadema tu muwe mnaelewa, tungekuwa na idara imara huyu wala hata asingekimbia, lakini kwa vile wao kazi yao ni kulinda tu CCM basi hali hii ndio ilivyo
 
Mkuu kausha tu ,,,,aliyekula tayari kalaa ..

CCM na kiboko ya wachawi n wale wale tu ,tofauti mmoja anatapeli Kwa kupitia siasa na mwingine Kwa kusimulia hadithi zilizoandikwa Kwenye biblia
 
Na wengi waliyobaki wote ni wale wale tu MTP

ova
 
Tunaposema Usalama wa Taifa kazi yao kuhangaika na Chadema tu muwe mnaelewa, tungekuwa na idara imara huyu wala hata asingekimbia, lakini kwa vile wao kazi yao ni kulinda tu CCM basi hali hii ndio ilivyo
Mifumo yetu imekuwa dhaifu kwenye kulinda usalama wa raia, hawa watu wanapata mpaka usajili, bado viongozi wakubwa wa kisiasa ni waumini wazuri wa hayo makanisa. Hii ni changamoto sana kwa wananchi wa kawaida.
 
Waumini wake wanajskiaje😂😂😂utumwa ... Fake P unakumbuka kiboko aliwahi fufua wafu😂😂😂😂hii kupenda miujiza ya haraka inawafanya watu kuwa misukule ya manabii feki
 
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .

1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?

2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?

3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?

4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?

USSR
Mimi nadhani Mungu amefanya hili litokee ili watu tuache ujinga wa kukimbilia miujiza badala ya kufanya kazi. Nadhani hili ni fundisho kwa wengine ambao bado wanaendele kupigwa kwa kichaka cha Dini.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Acha mpigwe, mmezidi viranga.
 
yeye ni mmoja tu wa wapigaji, ingekuwa kuna dhamira hiyo wangeanza na waliopo ndani ya nchi....
 
Tunaposema Usalama wa Taifa kazi yao kuhangaika na Chadema tu muwe mnaelewa, tungekuwa na idara imara huyu wala hata asingekimbia, lakini kwa vile wao kazi yao ni kulinda tu CCM basi hali hii ndio ilivyo
U said it all our intelligent officers cjui wanashida gani
 
Mifumo yetu imekuwa dhaifu kwenye kulinda usalama wa raia, hawa watu wanapata mpaka usajili, bado viongozi wakubwa wa kisiasa ni waumini wazuri wa hayo makanisa. Hii ni changamoto sana kwa wananchi wa kawaida.
Endeleeni kuweka Tiss kutoka uvccm ili mkomoe Chadema
 
Binafsi nimefurahi maana kuna watu huwaambii kitu kuhusu hawa manabii!!😛😛😛😛😛😛
 
Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .

1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?

2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?

3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?

4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?

USSR
Inawezekana inatakiwa uende Police ukatoe malalamiko yako ukimtuhumu kwa kosa alilokutendea ,
Police wakithibitisha kwamba amefanya makosa watamtafuta kwa kutumia Inter Pol kumleta aje ajibu mashtaka huyo si yupo hapo DRC na wote tupo kwenye jumuiya ya africa mashariki ambayo ina makubaliano ya kubadilishana watuhumiwa
 
Back
Top Bottom