Mzee wa soviet hebu nipe kidogo za huyo Erasmos Mapanga ndo yule kama mbabu babu auHilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .
1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?
2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?
3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?
4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?
USSR
Huyu jamaa watanzania huwa nawashanga sanaYule jamaa ana pigo za kike sana , huwezi kushindana na serikali ukashinda, wakikutaka popote wanakuokota kama nazi tu
Hamna kitu,huyo kashakula kona na anajuwa hakuna wa kumrudishaAkithibitika mahakamani ana makosa awaweza kukamatwa popote atakapokuwepo.
Sio serikali ya Tanzania ambao wanashindwa kesi kila siku tunaishia kulipa mabilioni ya mikataba mibovuYule jamaa ana pigo za kike sana , huwezi kushindana na serikali ukashinda, wakikutaka popote wanakuokota kama nazi tu
Mimi naona wamwache tu maana watanzania wanapenda kutapeliwa. So, wamwache na wengine waje watapeli mpaka siku akili ikiwakaa sawa.Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .
1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?
2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?
3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?
4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?
USSR
Ngumu sana hiyo, tupambane na hawa wezi watanzania wenzetu wanaoendelea kuwaadaa watu kila kukicha.Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .
1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu ?
2 .Je sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu?
3.kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao akiwepo muuji na mtekaji maarufu wa Buza Erasmos maarufu kama mapanga aliyetumia mwanya ule kutoroka na mlinzi wa zamani wa Diamond waletwe pamoja ?
4.Mali zake zilizopo hapa Tanzania zipigwe mnada watu walipwe fidia?
USSR
Kafanya mpaka biashara ya kuuza kuku, ila bado alipogeuka kuwa nabii kawapiga watu mchana kweupe.Huyu jamaa watanzania huwa nawashanga sana
Mtu kaanza kuuza vipodozi tena kwa magendo mpaka akashtukiwa...mara kawa nabii 😄
Hivi watu wanashindwa kuchuja mambo na kuelewa
Huyu mtu tokea mwanzo tulikuwa tunawambia siyo watu tu hawasiki hawaambiliki
Alafu kesi hizi za mambo ya kiimani huwa ni ngumu kumshtaki mtu maana,yeye atakuambia mimi sijawalazimisha kuja
Ova
Kula chuma hichoHilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi .