yaap potelea mbali, ila sijui kama kuna kazi za kufanya kuongeza kipato. wajuzi tafadhariNasikia inabidi ujifunze Kichina mwaka mzima kwanza
Ukielewe halafu ndio uanze kusoma mwaka unaofuata. Ukiwa serious unasoma na kufaulu vizuri tu
Hii nakubaliana nayo 100%"China's progress in advanced infrastructure is more than 100 times faster than the US."
– Elon Musk (Feb 2018 on twitter)
Yeah, weakness ya China nasikia ndio hiiShida raia wake hawapo huru kifikra. Muda wote wanafuatiliwa na mamlaka wanachozungumza. Ukiisema vibaya serikali au kiongozi Mkuu ujue utakamatwa na kufungwa. Ndiyo maana wale wanaotaka uhuru wa fikra wanakimbilia Ulaya, USA au Canada
China wana amazing infrastructures na mega projects ambazo zitakuacha mdomo wazi ukitembeleaHii nakubaliana nayo 100%
Infrastructure in China is so amazing, na bado inadevelop very fast
Kwa hiyo Wachina wanaishije?yaap potelea mbali, ila sijui kama kuna kazi za kufanya kuongeza kipato. wajuzi tafadhari
Ndio hivyo, ila kichina sio kigumu kama kizunguNasikia inabidi ujifunze Kichina mwaka mzima kwanza
Ukielewe halafu ndio uanze kusoma mwaka unaofuata. Ukiwa serious unasoma na kufaulu vizuri tu
Sio lazima kuna course zinafundishwa kwa Kiingereza mfano hasa za STEMNasikia inabidi ujifunze Kichina mwaka mzima kwanza
Ukielewe halafu ndio uanze kusoma mwaka unaofuata. Ukiwa serious unasoma na kufaulu vizuri tu
Kama serikali inawatengenezea mazingira mazuri kwanini uiseme vibaya? Nafikiri wameweka utaratibu wa kukosoana bila kuvuka mipaka na ndo ustaarabuYeah, weakness ya China nasikia ndio hii
Lakini at least wao even under dictatorship nchi yao inakua kwa kasi kuliko nchi za Magharibi especially kwenye technology na infrastructure
Tofauti na huku kwetu Tz, nchi ipo under dictatorship na maendeleo ni sifuri
Lakini kila nchi ina weakness yake. While Marekani ni salama kwa watu wanaokosoa serikali lakini public safety ipo chini. Kupigana risasi, school shootings, kidnapping, wizi nk wakati China crime rate ni very low.
Watu wanatembea nje usiku, na risk ya kukutana na ujambazi ni ndogo sana
Kwa nini unasema China iko under dictatorship?Yeah, weakness ya China nasikia ndio hii
Lakini at least wao even under dictatorship nchi yao inakua kwa kasi kuliko nchi za Magharibi especially kwenye technology na infrastructure
Wala sio ndoto yao ni kwamba Mchina ana jicho la kuona fursa, hata ukienda Songea ndani ndani wapo huko wanachimba madini nilikutana nao wengi Itumbi Chunya migodiniNdoto ya Wachina wengi ni kwenda kuishi US au Europe
Sio maneno yangu, nimekuwa nikiona watu wengi wakilalamika hivyo mitandaoni especially Chinese diasporaKwa nini unasema China iko under dictatorship?
Kuwa na vyama vingi vya siasa kumelisaidiaje bara la Afrika kiuchumi na kiteknolojia?1. Chama kimoja tu kuongoza muda wote
China inaendeshwa na Communist Party of China (CPC) pekee
Hakuna vyama vingine vinavyoweza kushinda uchaguzi wa kitaifa
Hii inamaanisha raia hawana chaguo la kweli kuamua viongozi wa taifa