ZIPO KOZI ZINAZOFUNDISHWA KWA ENGLISHNasikia inabidi ujifunze Kichina mwaka mzima kwanza
Ukielewe halafu ndio uanze kusoma mwaka unaofuata. Ukiwa serious unasoma na kufaulu vizuri tu
Daa, umemaliza kila kitu. Lakini watu wengi huwa hawaelewi hili.Kabisa, watu wanataka tuige upande mbaya wa China ila hawaongelei upande mzuri wa China
Sawa China hakuna demokrasia kamili, lakini wana system nzuri sana ya uongozi. Kutokuwa na demokrasia sio sababu ya China kuendelea
Ukifuatilia Africa tunakosa vyote, hakuna demokrasia wala system nzuri ya uongozi (ambao ndio muhimu kuliko vyama vingi vya siasa kwenye maendeleo)
Kama tunaiga China kutokuwa na demokrasia, basi tuwaige kuwa na uongozi bora pia
- Rule against bias, unajiita XI JINPING means wewe ni prochinaWala sio ndoto yao ni kwamba Mchina ana jicho la kuona fursa, hata ukienda Songea ndani ndani wapo huko wanachimba madini nilikutana nao wengi Itumbi Chunya migodini
Nyie endeleeni kuzubaa Mchina popote pale kwenye fursa ataenda wewe unalialia eti mbali nitaishije.
Wengine wapo Antarctica wakifanya researches za upatikanaji wa nishati
By the way hapa tunapoongea wengine wako misitu ya Congo kuchimba madini muhimu ya kutengenezea vifaa vya kielektroniki
Wako Canada, Marekani na pande zote za dunia kwa sababu wameziona fursa, kwa nini taifa lao lisijengeke
Wachina wakienda nchi za watu wanaendesha magenge ya kihalifu,biashara ya mihadharati na utakatishaji pesa, wanafanya hivyo kwenye nchi zenye mfumo corrupt,maana mambo haya wakiyafanyia kwao adhabu yake ni kitanzi..- Rule against bias, unajiita XI JINPING means wewe ni prochina
-Wachina wengi wao kupitia kampuni zao za Ujenzi wanalipwa pesa ndogo sana kwenye miradi yao ya Ujenzi kinyume na wage order/ too much exploitation
- Nitajie matajiri kumi wa kichina waliowahi kuingia fobes ile top20
Wasifananishe CPC na hiyo takataka CCMKatu usifananishe mfumo wa chama kimoja wa China na sehemu nyingine. Hili jambo wabongo wengi hasa wana CCM hupenda kulikariri sana. Utasikia ''nchi inatakiwa iwe na u-diktekta kama China ndiyo ipate maendeleo''. Ukweli ni kwamba foundation ya mfumo wa uongozi wa China ndiyo siri ya mafanikio yao na siyo sababu ya udiktekta. Duniani kumekuwa na madikteta wengi tu mbona hawakufanikiwa? Jaribu kusoma historia ya China na mfumo wa Confucianism ili ujue chimbuko la mafaniko yao.
- Rule against bias, unajiita XI JINPING means wewe ni prochina
-Wachina wengi wao kupitia kampuni zao za Ujenzi wanalipwa pesa ndogo sana kwenye miradi yao ya Ujenzi kinyume na wage order/ too much exploitation
- Nitajie matajiri kumi wa kichina waliowahi kuingia fobes ile top20
Yeah wazee wa milimani wengi ni Wabudha watu peace sanaKwa china navutiwa na maisha ya wa Tibet zaidi
Dah wale jamaa nawakubali mnoYeah wazee wa milimani wengi ni Wabudha watu peace sana