Je, kuna nchi inazidi China kwa miundombinu ya kuvutia?

Kuwa na vyama vingi vya siasa kumelisaidiaje bara la Afrika kiuchumi na kiteknolojia?
Sidhani kama vyama vingi vya siasa ndio vinahusika na maendeleo ya kiuchumi na kiteknolojia. Sikumbuki nikisema hayo maneno
 
2. Uhuru wa kisiasa ni mdogo
Raia hawawezi kuanzisha au kuendesha kampeni za kisiasa zinazopingana na CPC
Protests zinazopingana na serikali huzuiliwa au kufungwa kwa wakosoaji
China haihitaji kuwa na Demokrasia kama ya nchi za Magharibi. Kila nchi inaweza kujiamulia mfumo wake

Kila baada ya miaka 5, kila raia wa China anaweza kupigia kura viongozi wa ngazi ya chini, viongozi ambao wanawakilisha District/County People's Congress

Na hao viongozi wa District/County People's Congress huwa wanawachagua viongozi wa Bunge la Kitaifa la Wananchi.

Kwa mfumo huo China imeweka rekodi ya dunia ya kuwainua mamilioni ya Wachina kutoka kwenye umasikini bila demokrasia ya Magharibi

China imejipata kwenye Socialism with Chinese characteristics

Na hii ndio sababu kulingana na utafiti uliofanywa na Chuo cha Harvard, 90%-95% ya Wachina wameridhishwa na chama cha CPC
​
 
3. Udhibiti wa habari na mtandao
Internet, mitandao ya kijamii, na magazeti yote yupo chini ya uangalizi mkali
Websites, apps, na posts zinazopingana na serikali hukamatwa au kufutwa
Hii inakwamisha uhuru wa kujieleza
China ina mfumo wa kuwasilina na taasisi za kiserikali unaoitwa 12345 platform (Discpline Inspection Commission, Bureau of Letters and Calls)

Hapo mwananchi anaweza kupiga simu na kutoa malalamiko au kuripoti matukio kama rushwa n.k na kufanyiwa kazi na serikali

Ikibainika ni kweli serikali ya China inadeal moja kwa moja na kiongozi wa hovyo serikalini kwa kumnyonga, kifungo cha maisha au kuhukumiwa jela miaka kadhaa
 
Good for them
 
Kuna macamera mitaani kama yote wakikuhitaji ni dakika 3 tu wanajua location yako
Hii imesaidia China kuwa nchi salama kuliko Ulaya na Marekani.

Wageni kutoka nchi za Magharibi hushangaa sana kuona wanawake wa China wakitembea usiku bila wasiwasi wa kuhofia vibaka au kubakwa kitu ambacho kwao ni hadimu

Ndio maana huwezi kusikia matukio ya mass shooting au assassination kama Marekani.

Unaweza kuacha au kusahau mzigo wako kwenye kituo cha treni na kesho ukaukuta kama ulivyouacha
 
Ni sahihi....niliona sehemu kuna camera zaidi ya million 700 nchi nzima
 
Sio maneno yangu, nimekuwa nikiona watu wengi wakilalamika hivyo mitandaoni especially Chinese diaspora

Ukiuliza ChatGPT response ni hii. Mkmi binafsi sifuatilii politics za China kihivyo

1. Chama kimoja tu kuongoza muda wote
China inaendeshwa na Communist Party of China (CPC) pekee
Hakuna vyama vingine vinavyoweza kushinda uchaguzi wa kitaifa
Hii inamaanisha raia hawana chaguo la kweli kuamua viongozi wa taifa
2. Uhuru wa kisiasa ni mdogo
Raia hawawezi kuanzisha au kuendesha kampeni za kisiasa zinazopingana na CPC
Protests zinazopingana na serikali huzuiliwa au kufungwa kwa wakosoaji
3. Udhibiti wa habari na mtandao
Internet, mitandao ya kijamii, na magazeti yote yupo chini ya uangalizi mkali
Websites, apps, na posts zinazopingana na serikali hukamatwa au kufutwa
Hii inakwamisha uhuru wa kujieleza
4. Hukumu na sheria zinadhibitiwa kisiasa
Mahakama nyingi zinategemea serikali au vyombo vya chama
Raia wana migogoro ya kisiasa au wakosoaji wanaweza kupata adhabu kali
5. Kukosoa serikali kunaweza kuwa hatari
Watu wanaojaribu kuonesha maoni tofauti ya kisiasa wanaweza kuadhibiwa, kufungwa au kufuatiliwa
Mfumo huu unazidisha notion ya authoritarian / dictatorship

Kikubwa ni watu kuwa fikiria na wengine....
Hakuna majambazi ya Raslimali za umma kama Nchi za kiafrica ambapo watu wanajilimbikizia kama vile wataishi milele....
Huku Africa, mtu yupo tayari Nchi ipate hasara ya Bilioni ili yeye na watoto wake wanufaike....kule China hawana huo upuuzi....
 
China wanajenga bararabara kwa kasi Hadi Google maps wanashindwa kuupdate kila siku.. Switzerland pia wako vizuri kwa public transport
 
hao watu hawafai aisee, nakumbuka kipindi cha Covid walijemga hospitali ya vitanda 1600 kwa muda wa siku 10 ikawa imekamilika
 
Hii nakubaliana nayo 100%
Infrastructure in China is so amazing, na bado inadevelop very fast
No country is even close
Kwa wengine mji kuwa amazing ni kuwa na mi-ghorofa mirefu, barabara za juu na ghasia za kila aina. Kwa wengine mji kuwa amazing ni kuwa na ghorofa za wastani na sehemu kubaki as natural as possible, ikiwezekana kuwe na vichaka vya asili. Nimewahi kutembelea China na sikupendezwa na maisha yake. Hotel niliyofikia kupanda lift ni kwa foleni ndefu na kuna mlinzi yuko pale kusimamia. Miji ni very crowded na nature imekuwa re-placed na miundo mbinu na majengo marefu. Kusema kweli sipendi miji ya aina hii.
 
Hii imesaidia China kuwa nchi salama kuliko Ulaya na Marekani.

Wageni kutoka nchi za Magharibi hushangaa sana kuona wanawake wa China wakitembea usiku bila wasiwasi wa kuhofia vibaka au kubakwa kitu ambacho kwao ni hadimu

Ndio maana huwezi kusikia matukio ya mass shooting au assassination kama Marekani.

Unaweza kuacha au kusahau mzigo wako kwenye kituo cha treni na kesho ukaukuta kama ulivyouacha
Kwa china navutiwa na maisha ya wa Tibet zaidi
 
Kwa wengine mji kuwa amazing ni kuwa na mi-ghorofa mirefu, barabara za juu na ghasia za kila aina. Kwa wengine mji kuwa amazing ni kuwa na ghorofa za wastani na sehemu kubaki as natural as possible, ikiwezekana kuwe na vichaka vya asili. Nimewahi kutembelea China na sikupendezwa na maisha yake. Hotel niliyofikia kupanda lift ni kwa foleni ndefu na kuna mlinzi yuko pale kusimamia. Miji ni very crowded na nature imekuwa re-placed na miundo mbinu na majengo marefu. Kusema kweli sipendi miji ya aina hii.
Unabadili mada. Sijasema amazing cities
Nimesema "Amazing infrastructure"
Hapa naongelea infrastructure ambazo ni mind blowing. Sijaongelea uzuri wa miji, please
 
Kuwa na vyama vingi vya siasa kumelisaidiaje bara la Afrika kiuchumi na kiteknolojia?
Katu usifananishe mfumo wa chama kimoja wa China na sehemu nyingine. Hili jambo wabongo wengi hasa wana CCM hupenda kulikariri sana. Utasikia ''nchi inatakiwa iwe na u-diktekta kama China ndiyo ipate maendeleo''. Ukweli ni kwamba foundation ya mfumo wa uongozi wa China ndiyo siri ya mafanikio yao na siyo sababu ya udiktekta. Duniani kumekuwa na madikteta wengi tu mbona hawakufanikiwa? Jaribu kusoma historia ya China na mfumo wa Confucianism ili ujue chimbuko la mafaniko yao.
 
Unabadili mada. Sijasema amazing cities
Nimesema "Amazing infrastructure"
Hapa naongelea infrastructure ambazo ni mind blowing. Sijaongelea uzuri wa miji, please
😎Haya wana amazing infrastracture lakini hawana amizing cities...
 
Ukihamia kwenye mada ya miji, hii kila mtu ana opinion yake. Wengine wanapenda miji ambayo ina majengo mafupi, barabara za kawaida, miundombinu mizuri inayojitosheleza na maisha ya utulivu kama most Scandinavian cities
Wengine wanapenda miji ambayo ni very modern and futuristic, tall glass building, big modern and advanced infrastructure with cutting edge technology, massive highways, big railway network, high speed futuristic trains, growing cities (cities that aren't static), the ones which are changing everyday
Others just love villages. China has all that

Hata aina ya miji uliyosema unaipenda pia China ipo pia.
Not everywhere in China is like Shanghai
 
Katu usifananishe mfumo wa chama kimoja wa China na sehemu nyingine. Hili jambo wabongo wengi hasa wana CCM hupenda kulikariri sana. Utasikia ''nchi inatakiwa iwe na u-diktekta kama China ndiyo ipate maendeleo''. Ukweli ni kwamba foundation ya mfumo wa uongozi wa China ndiyo siri ya mafanikio yao na siyo sababu ya udiktekta. Duniani kumekuwa na madikteta wengi tu mbona hawakufanikiwa? Jaribu kusoma historia ya China na mfumo wa Confucianism ili ujue chimbuko la mafaniko yao.
Kabisa, watu wanataka tuige upande mbaya wa China ila hawaongelei upande mzuri wa China
Sawa China hakuna demokrasia kamili, lakini wana system nzuri sana ya uongozi. Kutokuwa na demokrasia sio sababu ya China kuendelea
Ukifuatilia Africa tunakosa vyote, hakuna demokrasia wala system nzuri ya uongozi (ambao ndio muhimu kuliko vyama vingi vya siasa kwenye maendeleo)

Kama tunaiga China kutokuwa na demokrasia, basi tuwaige kuwa na uongozi bora pia
 
Back
Top Bottom