Je, kuna nchi inazidi China kwa miundombinu ya kuvutia?

huku kwetu wanajenga vizuri gari la moshi inakimbia 80-100kph.Ubaya wanasiasa wanaomba hongo inakua pesa nyingi
 
Nasikia inabidi ujifunze Kichina mwaka mzima kwanza
Ukielewe halafu ndio uanze kusoma mwaka unaofuata. Ukiwa serious unasoma na kufaulu vizuri tu
ZIPO KOZI ZINAZOFUNDISHWA KWA ENGLISH
 
Daa, umemaliza kila kitu. Lakini watu wengi huwa hawaelewi hili.
 
- Rule against bias, unajiita XI JINPING means wewe ni prochina
-Wachina wengi wao kupitia kampuni zao za Ujenzi wanalipwa pesa ndogo sana kwenye miradi yao ya Ujenzi kinyume na wage order/ too much exploitation
- Nitajie matajiri kumi wa kichina waliowahi kuingia fobes ile top20
 
Wachina wakienda nchi za watu wanaendesha magenge ya kihalifu,biashara ya mihadharati na utakatishaji pesa, wanafanya hivyo kwenye nchi zenye mfumo corrupt,maana mambo haya wakiyafanyia kwao adhabu yake ni kitanzi..
 
Wasifananishe CPC na hiyo takataka CCM

Na China wala sio nchi ya kidikteta
 
–Gharama ya maisha.
China kwa ujumla ina gharama ya maisha iliyo chini kuliko nchi nyingi za Magharibi kama Marekani au Uingereza. Hivyo mishahara huwa inaendana na mazingira ya ndani hata kama ni midogo kwa viwango vya kimataifa, inaweza kutosha ndani ya China.

–China ni nchi ya pili duniani kwa kuwa na mabilionea wengi

–Utajiri mwingi China uko kwenye makampuni ya serikali si rahisi kuona mtu mmoja mmoja anamiliki utajiri mkubwa sana kama nchi za Magharibi
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…