DOKEZO Je, kuna nini kinaendelea JNIA Terminal 3? Ndege hazitui wala kuondoka

DOKEZO Je, kuna nini kinaendelea JNIA Terminal 3? Ndege hazitui wala kuondoka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni mambo ya aibu sana
Naambiwa runway imechimbika hivyo ndege kubwa ambazo zinahitaji eneo kubwa la kukimbia kabla ya kuruka (initial velocity) haziwezi kutokana na hayo mashimo.

Ni aibu kubwa sana, ivi kweli Rais anaona haya mambo?
Waziri Mkuu?
Makamo wa Rais
Viongozi wakubwa
Uongozi wa Airport

Ni aibu kubwa sana hii nchi, kuna wakati najisikia mnyonge sana kuwa mtanzania
Kama vipi twende zetu Kwa Kagame mkuu
 
Ni mambo ya aibu sana
Naambiwa runway imechimbika hivyo ndege kubwa ambazo zinahitaji eneo kubwa la kukimbia kabla ya kuruka (initial velocity) haziwezi kutokana na hayo mashimo.

Ni aibu kubwa sana, ivi kweli Rais anaona haya mambo?
Waziri Mkuu?
Makamo wa Rais
Viongozi wakubwa
Uongozi wa Airport

Ni aibu kubwa sana hii nchi, kuna wakati najisikia mnyonge sana kuwa mtanzania
Kama hizi taarifa ni za kweli hapo inafaa kufukuza wote hadi Waziri. Monitoring and repair ya uwanja si lazima shimo lidhihirike. Daily assessment ya hali ya uwanja inatakiwa kufanyika tena haraka kabisa.
 
Ni mambo ya aibu sana
Naambiwa runway imechimbika hivyo ndege kubwa ambazo zinahitaji eneo kubwa la kukimbia kabla ya kuruka (initial velocity) haziwezi kutokana na hayo mashimo.

Ni aibu kubwa sana, ivi kweli Rais anaona haya mambo?
Waziri Mkuu?
Makamo wa Rais
Viongozi wakubwa
Uongozi wa Airport

Ni aibu kubwa sana hii nchi, kuna wakati najisikia mnyonge sana kuwa mtanzania
Aliyezinunua angekuwepo!!!
 
Kama hizi taarifa ni za kweli hapo inafaa kufukuza wote hadi Waziri. Monitoring and repair ya uwanja si lazima shimo lidhihirike. Daily assessment ya hali ya uwanja unatakiwa kufanyika tena haraka kabisa.

Wala sina haja ya kusema uongo wala sinufaiki na propaganda ya kisiasa kutoka chama chochote cha siasa.

Uhalisia ni kwamba ndege zimeshindwa kutoa na kuondoka kwa ubovu wa runway.

Hata ndege yetu iliyopaswa kwenda Guangzhou haikwenda mnaweza kutazama kwenye App zinazoweka taarifa za safari za ndege.

Hali hii imewatia watu hasara kubwa hususani wafanyabiashara.

Serikali inatufanya tuwe wanyonge sana kwenye mioyo yetu inakuwa aibu sana kusema wewe ni mtanzania.

Juzi niliona video clip inasambaa ikionyesha gate la kuingia magari kuna foleni ndefu ya magari kwa kukosa kadi za kuingilia getini, hebu tufikirie vema ule ni uwanja wa kimataifa ndugu zangu.

Ni kweli Serikali haipendi kukosolewa lakini tunalazimika sasa.
 
Abiria wote wa KLM iliyotakiwa kuwasili jana usiku Dar es Salaam kutokea Amsterdam kupitia Kilimanjaro wamekwama KIA, na wako Mount Meru Hotel. Mpaka sasa (saa sita na robo mchana leo) hakuna taarifa ni saa ngapi wataendelea na safari yao ya Dar es Salaam. Abiria waliambiwa runway ya Dar ina mashimo makubwa na hivyo ndege kubwa zote haziwezi kutua. Only ndege ndogo ndogo zinaweza kutua kwa sababu haziitaji runway ndefu. Hatma ya abiria waliokwamba KIA itajulikana leo saa kumi jioni kama watasafiri leo ama vipi.
Wale tu bata wanagalamiwa kila kitu hao watasafiri j4 asubuhi.
 
Nasikia pia kadi za maegesho ya magari zimeisha watu wamezuiwa kuingia! Uzembe umerudi kwa kasi kubwa kuliko kawaida!

Mama Samia awe mkali kidogo otherwise tutarudi kwenye damage beyond repair! Hii ngozi nyeusi bila kufukuzana na ukali wanakutia kidole machoni taifa linaingia hasara.
Hii ya Kadi pale Terminal 3 imeshakuwa kawaida. Na utakuta kuna mtu pale kwenye kibanda karibu na geti, sasa sijui kazi yake ni nini?
 
Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa?

Kuna tatizo gani ambalo halipo bayana kiasi cha wasafiri kujikuta wakipoteza muda wao hapo uwanjani na safari zao kuwa cancelled?

Ukiacha hilo, wasafiri wengine wapo stranded viwanja vya karibu kama KIA na JKINA wakisubiri hatma ya kufika Dar es Salaam.

Huku tetesi zilizopo zikiwa ubovu/hitilafu ya miundombinu kwenye runway, je ni kweli na kama ni kweli kwa nini iwe jana na leo na sio siku nyingine?

Je terminal 3 haina runway zaidi ya moja kwa ndege kubwa?

Hii picha chini ni status ya flight # KL0569 (KLM) ambayo jana ilishindwa kufika JNIA (Dar), hivyo ikabaki JRO (KIA) hadi sasa ikisubiri kwenda Dar kushusha abiria na kuchukua abiria waliopaswa kwwnda Amsterdam

View attachment 2428883
Mauzauza na kulipua mambo ya ujenzi. Njia ya kutua/ kupaa ndege (lami) imekatika.
View attachment 2429149
 
Kama Ndege kubwa hazitui na ndogo zinatua kwa nini Wana cancel flights ,KIA kuna Ndege ndogo zingebeba abilia kuleta dar na wale wa dar wanaosafiri kimataifa wangepelekwa KIA kuliko kusimamisha Safari Za watu wenye ratiba zao kwa kuwalaza hotelini na gharama zinaongezeka kwa shirika husikA unless kama sifahamu sheria za airline

For me Kukodi Ndege would have been the best option to save time and Money.
 
Kufaulisha abiria inawezekana ikawa cost kubwa kuliko kuwalaza hotelini.
 
TAA Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania tovuti yao ipo kimya.

Eneo: Julius Nyerere International Airport JNIA Dar es Salaam, Tanzania

TAA ina habari-kale za miradi:

1669565309995.png

Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita Million 2, inajumuisha

  1. Ujenzi wa Uzio wa Usalama wa eneo la Mzunguko wa Usalama
  2. Ujenzi wa Miundombinu ya tanki
  3. Usimikaji wa Pump ya kusukumua maji 120m3/Kwa saa na Miundombinu yake

ENEO : ZOEZI LA UTAYARI SONGEA AIRPORT, MKOA WA RUVUMA TANZANIA
21 NOVEMBER 2022
1669565519185.png

Soma zaidi :
Source : Tanzania Airports Authority
 
Back
Top Bottom