DOKEZO Je, kuna nini kinaendelea JNIA Terminal 3? Ndege hazitui wala kuondoka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama vipi twende zetu Kwa Kagame mkuu
 
Kama hizi taarifa ni za kweli hapo inafaa kufukuza wote hadi Waziri. Monitoring and repair ya uwanja si lazima shimo lidhihirike. Daily assessment ya hali ya uwanja inatakiwa kufanyika tena haraka kabisa.
 
Aliyezinunua angekuwepo!!!
 
Kama hizi taarifa ni za kweli hapo inafaa kufukuza wote hadi Waziri. Monitoring and repair ya uwanja si lazima shimo lidhihirike. Daily assessment ya hali ya uwanja unatakiwa kufanyika tena haraka kabisa.

Wala sina haja ya kusema uongo wala sinufaiki na propaganda ya kisiasa kutoka chama chochote cha siasa.

Uhalisia ni kwamba ndege zimeshindwa kutoa na kuondoka kwa ubovu wa runway.


Hata ndege yetu iliyopaswa kwenda Guangzhou haikwenda mnaweza kutazama kwenye App zinazoweka taarifa za safari za ndege.

Hali hii imewatia watu hasara kubwa hususani wafanyabiashara.


Serikali inatufanya tuwe wanyonge sana kwenye mioyo yetu inakuwa aibu sana kusema wewe ni mtanzania.

Juzi niliona video clip inasambaa ikionyesha gate la kuingia magari kuna foleni ndefu ya magari kwa kukosa kadi za kuingilia getini, hebu tufikirie vema ule ni uwanja wa kimataifa ndugu zangu.

Ni kweli Serikali haipendi kukosolewa lakini tunalazimika sasa.
 
Wale tu bata wanagalamiwa kila kitu hao watasafiri j4 asubuhi.
 
Hii ya Kadi pale Terminal 3 imeshakuwa kawaida. Na utakuta kuna mtu pale kwenye kibanda karibu na geti, sasa sijui kazi yake ni nini?
 
Mauzauza na kulipua mambo ya ujenzi. Njia ya kutua/ kupaa ndege (lami) imekatika.
View attachment 2429149
 
Kama Ndege kubwa hazitui na ndogo zinatua kwa nini Wana cancel flights ,KIA kuna Ndege ndogo zingebeba abilia kuleta dar na wale wa dar wanaosafiri kimataifa wangepelekwa KIA kuliko kusimamisha Safari Za watu wenye ratiba zao kwa kuwalaza hotelini na gharama zinaongezeka kwa shirika husikA unless kama sifahamu sheria za airline

For me Kukodi Ndege would have been the best option to save time and Money.
 
Kufaulisha abiria inawezekana ikawa cost kubwa kuliko kuwalaza hotelini.
 
TAA Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania tovuti yao ipo kimya.

Eneo: Julius Nyerere International Airport JNIA Dar es Salaam, Tanzania

TAA ina habari-kale za miradi:


Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji lenye uwezo wa kuhifadhi lita Million 2, inajumuisha

  1. Ujenzi wa Uzio wa Usalama wa eneo la Mzunguko wa Usalama
  2. Ujenzi wa Miundombinu ya tanki
  3. Usimikaji wa Pump ya kusukumua maji 120m3/Kwa saa na Miundombinu yake

ENEO : ZOEZI LA UTAYARI SONGEA AIRPORT, MKOA WA RUVUMA TANZANIA
21 NOVEMBER 2022


Soma zaidi :
Source : Tanzania Airports Authority
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…