DOKEZO Je, kuna nini kinaendelea JNIA Terminal 3? Ndege hazitui wala kuondoka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Eti dege🤣🤣🤣
 
Kama terminal 3 haifanyi kazi si zitue terminal 2? Mbona kabla ya hiyo terminal 3 tulitumia 2 bila shida?
 
Kwani hao wote wapo kwenye ziara pamoja na makamo wa Rais ?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna mambo yanasikitisha sana...

Kwenye matumizi ya hovyo pesa zinachotwa bila taarifa, maelezo baadae...

Hapo nawaona wapigaji wakija na budget ya 1 Trillion kufukia mashimo...
 
Kama terminal 3 haifanyi kazi si zitue terminal 2? Mbona kabla ya hiyo terminal 3 tulitumia 2 bila shida?

Barabara ya kutua na kuruka ndege ni moja kwa terminals zote...
 
Kuna wateja waliokuwa kwa KLM jana usiku walitangaziwa kuwa kwenye runway ya Dar kuna shimo hivyo sio salama kutua/ndege zimezuiliwa kutua; KLM ikaishia JRO.

Inawezekana limesababishwa na Mvua inayonyesha pande hizo
Kuna wateja waliokuwa kwa KLM jana usiku walitangaziwa kuwa kwenye runway ya Dar kuna shimo hivyo sio salama kutua/ndege zimezuiliwa kutua; KLM ikaishia JRO.[emoji3064]
 

I will play the devil's advocate here, hapo aibu ni nini? Hao viongozi wana uwezo wa kuzuia runway kuharibika au unamaanisha nini? Shughuli zimeendelea after sometime, ulitaka hao viongozi wafanye nini differently?
 
mimi nilivyosikia terminal 2 inatumika na ndege za ndani na terminal 3 za nje nikajua kila kitu kinajitegemea, asante kwa kunifahamisha.
Pale run way ni moja ile ile aliotuachia mkoloni- sisi tumejenga majengo tu haya mawili terminal two na three . Kiualisia tulitakiwa jenga new airport with more than 4 runways maeneo ya kibaha au Bagamoyo. Eneo pale for more than 2 runways alitoshi
 
Aibu nini hapo? Mlitaka yatokee ya Bukoba au, better safe than sorry.

When was the last time kulikua na hitilafu?

Dharura zipo popote pale duniani.
Dharura zimeanza kutokea baada ya ajali?kama kawaida yenu mnasubiri yatokee ndio mreact........hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…