Dharura zimeanza kutokea baada ya ajali?kama kawaida yenu mnasubiri yatokee ndio mreact........hovyo
Mvua hizi tu zilizonyesha siku mbili hizi hahhahahhahah acheni usaniiUmeambiwa mvua zimeharibu runway ulitaka wafanyaje?
Ulitaka litokee jambo ndo wafanye ukarabati? Yani Unalalamika Ndege kuzuiwa kutua kwa muda sababu ya hitilafu?
Kuna mambo ya kulalamikia najua mitanganyika tumeumbwa kulalama but this is reaching.
Mvua hizi tu zilizonyesha siku mbili hizi hahhahahhahah acheni usanii
Mkuu ninyi wenyewe ukali wa "yule jamaa" mliulaani na kuupigia kelele na leo mme"about turn"!Nasikia pia kadi za maegesho ya magari zimeisha watu wamezuiwa kuingia! Uzembe umerudi kwa kasi kubwa kuliko kawaida!
Mama Samia awe mkali kidogo otherwise tutarudi kwenye damage beyond repair! Hii ngozi nyeusi bila kufukuzana na ukali wanakutia kidole machoni taifa linaingia hasara.
Unafikiri ni Ngorika express hiyo au Manjinjah bus serviceKama Ndege kubwa hazitui na ndogo zinatua kwa nini Wana cancel flights ,KIA kuna Ndege ndogo zingebeba abilia kuleta dar na wale wa dar wanaosafiri kimataifa wangepelekwa KIA kuliko kusimamisha Safari Za watu wenye ratiba zao kwa kuwalaza hotelini na gharama zinaongezeka kwa shirika husikA unless kama sifahamu sheria za airline
For me Kukodi Ndege would have been the best option to save time and Money.
Hii kitu inashangaza mno. Haya mashimo kama yangekuwepo tangu awali, tangekuwa yameshajulikana na kuonekana. Haya mashimo kuna namna ambayo imefanyika yakapatikana ila mimi naamini hayakuwepo!Hayo mashimo kwenye runway ndiyo tukio la siku moja, kwani hakuna maintenance schedule?
Mbona hatujawahi sikia hii kitu?
Kuna jambo linaendelea kimya kimya:Hii kitu inashangaza mno. Haya mashimo kama yangekuwepo tangu awali, tangekuwa yameshajulikana na kuonekana. Haya mashimo kuna namna ambayo imefanyika yakapatikana ila mimi naamini hayakuwepo!
Hakuna updates kwenye hii Aibu yetu?Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa?
Kuna tatizo gani ambalo halipo bayana kiasi cha wasafiri kujikuta wakipoteza muda wao hapo uwanjani na safari zao kuwa cancelled?
Ukiacha hilo, wasafiri wengine wapo stranded viwanja vya karibu kama KIA na JKINA wakisubiri hatma ya kufika Dar es Salaam.
Huku tetesi zilizopo zikiwa ubovu/hitilafu ya miundombinu kwenye runway, je ni kweli na kama ni kweli kwa nini iwe jana na leo na sio siku nyingine?
Je terminal 3 haina runway zaidi ya moja kwa ndege kubwa?
Hii picha chini ni status ya flight # KL0569 (KLM) ambayo jana ilishindwa kufika JNIA (Dar), hivyo ikabaki JRO (KIA) hadi sasa ikisubiri kwenda Dar kushusha abiria na kuchukua abiria waliopaswa kwwnda Amsterdam
View attachment 2428883
View attachment 2429552
View attachment 2429550
hapo solution kwa Klm wawakodishie mabasi ya Kilimajaro wawachukue wa kia wawapeleke Dar na wale wa Dar wanaosafiri kwenda nje nao wapelekwe na kilimanjaro bus mchezo umekwisha hapo,na waondokee kwenda nje kupitia Kia
Kama Ndege kubwa hazitui na ndogo zinatua kwa nini Wana cancel flights ,KIA kuna Ndege ndogo zingebeba abilia kuleta dar na wale wa dar wanaosafiri kimataifa wangepelekwa KIA kuliko kusimamisha Safari Za watu wenye ratiba zao kwa kuwalaza hotelini na gharama zinaongezeka kwa shirika husikA unless kama sifahamu sheria za airline
For me Kukodi Ndege would have been the best option to save time and Money.
Sio Inter. Flights tuu hata local flights jana muda ulisogezwa wa saa moja mpk saa tano usiku lakini mr kasema wameondoka hapo saa saba na ushee usiku. So nadhani its better late than sorry..waliona kuna shida
Ni wajinga sana wale wafanyakazi. Kuna siku nilikuwa nasafiri na flight ya usiku; ilikuwa ni usiku wa kuamkia tarehe 14-Nov. Nimetoka njia ya mjini, na kuingia Terminal 3 kupitia hili geti la njia ya moja kwa moja kutoka mjini. Nimefika pale nakuta bonge la foleni, ilikuwa ni saa nane usiku. Kwenda kuuliza, yule jamaa anasema eti hakuna kadi (huku akiwa amelewa). Tumekaa pale zaidi ya dakika 10; ndio kadi zikaletwa. Kulikuwa na foreigners kibao. Kuna Mnigeria mmoja alitaka kumpiga makofi yule jamaa. Maana kila mtu alikuwa anashangaa - hakuna kadi za kuchukua ili geti lifunguke??? Na kuna mfanyakazi amekaa tu pale; tena akiwa amelewa????Anazungukaga na baskeli yake tu 🤣🤣
I will play the devil's advocate here, hapo aibu ni nini? Hao viongozi wana uwezo wa kuzuia runway kuharibika au unamaanisha nini? Shughuli zimeendelea after sometime, ulitaka hao viongozi wafanye nini differently?
Hakuna updates kwenye hii Aibu yetu?
Boresha mwandiko kidogo kiongozi!Namalizuakadompokangu ntarudibadaaeeee