DOKEZO Je, kuna nini kinaendelea JNIA Terminal 3? Ndege hazitui wala kuondoka

DOKEZO Je, kuna nini kinaendelea JNIA Terminal 3? Ndege hazitui wala kuondoka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Dharura zimeanza kutokea baada ya ajali?kama kawaida yenu mnasubiri yatokee ndio mreact........hovyo

Umeambiwa mvua zimeharibu runway ulitaka wafanyaje?

Ulitaka litokee jambo ndo wafanye ukarabati? Yani Unalalamika Ndege kuzuiwa kutua kwa muda sababu ya hitilafu?

Kuna mambo ya kulalamikia najua mitanganyika tumeumbwa kulalama but this is reaching.
 
Sio Inter. Flights tuu hata local flights jana muda ulisogezwa wa saa moja mpk saa tano usiku lakini mr kasema wameondoka hapo saa saba na ushee usiku. So nadhani its better late than sorry..waliona kuna shida
 
Mvua hizi tu zilizonyesha siku mbili hizi hahhahahhahah acheni usanii
 
Nasikia pia kadi za maegesho ya magari zimeisha watu wamezuiwa kuingia! Uzembe umerudi kwa kasi kubwa kuliko kawaida!

Mama Samia awe mkali kidogo otherwise tutarudi kwenye damage beyond repair! Hii ngozi nyeusi bila kufukuzana na ukali wanakutia kidole machoni taifa linaingia hasara.
Mkuu ninyi wenyewe ukali wa "yule jamaa" mliulaani na kuupigia kelele na leo mme"about turn"!

Sisi tuliona ukali ule ulifaa kwa kufukuzia nyani shambani.

Maana ukicheka na nyani utaambulia mabua, huu ni usemi wenye mantiki na historia ni mwalimu mkuu mzuri.

Uungwana wanastahili waungwana na ubabe unastahili washenzy.
 
Kama Ndege kubwa hazitui na ndogo zinatua kwa nini Wana cancel flights ,KIA kuna Ndege ndogo zingebeba abilia kuleta dar na wale wa dar wanaosafiri kimataifa wangepelekwa KIA kuliko kusimamisha Safari Za watu wenye ratiba zao kwa kuwalaza hotelini na gharama zinaongezeka kwa shirika husikA unless kama sifahamu sheria za airline

For me Kukodi Ndege would have been the best option to save time and Money.
Unafikiri ni Ngorika express hiyo au Manjinjah bus service
 
Hayo mashimo kwenye runway ndiyo tukio la siku moja, kwani hakuna maintenance schedule?

Mbona hatujawahi sikia hii kitu?
Hii kitu inashangaza mno. Haya mashimo kama yangekuwepo tangu awali, tangekuwa yameshajulikana na kuonekana. Haya mashimo kuna namna ambayo imefanyika yakapatikana ila mimi naamini hayakuwepo!
 
Hii kitu inashangaza mno. Haya mashimo kama yangekuwepo tangu awali, tangekuwa yameshajulikana na kuonekana. Haya mashimo kuna namna ambayo imefanyika yakapatikana ila mimi naamini hayakuwepo!
Kuna jambo linaendelea kimya kimya:
Nimesoma mahali kuwa Airbus zetu zote zimekuwa grounded indefinitely 🤔.... Tangu 26/11/2022 haziendi angani na ushahidi ni jana, zinatumika Bombardier tuu.
Boeing nazo, moja ilionekana Zambia juzi, safari ya China haikuwepo jana alfajiri, leo asubuhi ndio iko angani kuelekea China. Hii biashara inaenda kutushinda.
 
Swali kwa mamlaka husika yenye kusimamia Termanal 3 ya Dar es Salaam, je ni kwanini ndege toka nje zimeshindwa kutua wala kuondoka karibu siku nzima ya jana na hata sasa?

Kuna tatizo gani ambalo halipo bayana kiasi cha wasafiri kujikuta wakipoteza muda wao hapo uwanjani na safari zao kuwa cancelled?

Ukiacha hilo, wasafiri wengine wapo stranded viwanja vya karibu kama KIA na JKINA wakisubiri hatma ya kufika Dar es Salaam.

Huku tetesi zilizopo zikiwa ubovu/hitilafu ya miundombinu kwenye runway, je ni kweli na kama ni kweli kwa nini iwe jana na leo na sio siku nyingine?

Je terminal 3 haina runway zaidi ya moja kwa ndege kubwa?

Hii picha chini ni status ya flight # KL0569 (KLM) ambayo jana ilishindwa kufika JNIA (Dar), hivyo ikabaki JRO (KIA) hadi sasa ikisubiri kwenda Dar kushusha abiria na kuchukua abiria waliopaswa kwwnda Amsterdam

View attachment 2428883
View attachment 2429552
View attachment 2429550
Hakuna updates kwenye hii Aibu yetu?
 
Pale run way ni moja ile ile aliotuachia mkoloni- sisi tumejenga majengo tu haya mawili terminal two na three .

Kuna wakati runway iliongezwa urefu enzi ya terminal 2, wakati wa Kikwete
 
hapo solution kwa Klm wawakodishie mabasi ya Kilimajaro wawachukue wa kia wawapeleke Dar na wale wa Dar wanaosafiri kwenda nje nao wapelekwe na kilimanjaro bus mchezo umekwisha hapo,na waondokee kwenda nje kupitia Kia
 
hapo solution kwa Klm wawakodishie mabasi ya Kilimajaro wawachukue wa kia wawapeleke Dar na wale wa Dar wanaosafiri kwenda nje nao wapelekwe na kilimanjaro bus mchezo umekwisha hapo,na waondokee kwenda nje kupitia Kia

Kama Ndege kubwa hazitui na ndogo zinatua kwa nini Wana cancel flights ,KIA kuna Ndege ndogo zingebeba abilia kuleta dar na wale wa dar wanaosafiri kimataifa wangepelekwa KIA kuliko kusimamisha Safari Za watu wenye ratiba zao kwa kuwalaza hotelini na gharama zinaongezeka kwa shirika husikA unless kama sifahamu sheria za airline

For me Kukodi Ndege would have been the best option to save time and Money.

Uwanja uliacha kutumika kwa masaa machache tu sasa kila kitu kinaendelea kama kawaida. Kukodi ndege sijui mabasi kungepoteza muda zaidi na kuongeza usumbufu tu. Msomeni Kalpana hapa chini:

Sio Inter. Flights tuu hata local flights jana muda ulisogezwa wa saa moja mpk saa tano usiku lakini mr kasema wameondoka hapo saa saba na ushee usiku. So nadhani its better late than sorry..waliona kuna shida
 
Anazungukaga na baskeli yake tu 🤣🤣
Ni wajinga sana wale wafanyakazi. Kuna siku nilikuwa nasafiri na flight ya usiku; ilikuwa ni usiku wa kuamkia tarehe 14-Nov. Nimetoka njia ya mjini, na kuingia Terminal 3 kupitia hili geti la njia ya moja kwa moja kutoka mjini. Nimefika pale nakuta bonge la foleni, ilikuwa ni saa nane usiku. Kwenda kuuliza, yule jamaa anasema eti hakuna kadi (huku akiwa amelewa). Tumekaa pale zaidi ya dakika 10; ndio kadi zikaletwa. Kulikuwa na foreigners kibao. Kuna Mnigeria mmoja alitaka kumpiga makofi yule jamaa. Maana kila mtu alikuwa anashangaa - hakuna kadi za kuchukua ili geti lifunguke??? Na kuna mfanyakazi amekaa tu pale; tena akiwa amelewa????
 
Wengine tumeamua tuache kuongea ili wale ambao huwa mnapiga kimya kama hayawahusu na nyie mseme.

Ila nakumbushia tu, nchi hii tuna mfumo mbovu uliooza at its core. Tutahangaika saaana kutafuta vichochoro vya kupita ila njia sahihi ya kuibadili nchi hii inajulikana ila tumekataa kuitumia.
 
I will play the devil's advocate here, hapo aibu ni nini? Hao viongozi wana uwezo wa kuzuia runway kuharibika au unamaanisha nini? Shughuli zimeendelea after sometime, ulitaka hao viongozi wafanye nini differently?

Waende makwao wanywe chai.
 
Hakuna updates kwenye hii Aibu yetu?

Serikali ya CCM ina madudu kibao ila I don't see how hii ni aibu.

Uwanja ulisimama kwa masaa kadhaa tu kwa hitilafu, hapo aibu ni nini? Mlitaka wafanye nini differently?

Mnadhani haya mambo hayatokei viwanja vingine?

Tumewahi kuchelewa kuondoka au kutua mara kadhaa nje ya nchi including O'hare Chicago na Schiphol Amsterdam, ni mambo ya kawaida sana in the aviation industry.

Better safe than sorry.
 
Back
Top Bottom