Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Lengo la Sheria hiyo ni Nini?Sheria ya zamani iliyopitwa na wakati
Yuko sahihi huyo mlinziNimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo nigeuze gari. Sikuwa na muda wa kuhoji nilikuwa na haraka.
Naomba ufafanuzi mwenye kujua.
Tuelekeze hizo shule za udereva zinazofundisha namna ya kupaki kwenye ma bank tafadhali.Yuko sahihi huyo mlinzi
Mia kwa mia
Muende shule za udereva achananeni na leseni za kuletewa majumbani na bar
Mjinga wewe jambazi akivamia counter akapora pesa counter na wateja kumpata inakuwa ngumu kama kageuza gari kukimbiaSheria ya zamani iliyopitwa na wakati
Yuko sahihi huyo mlinzi
Mia kwa mia
Muende shule za udereva achananeni na leseni za kuletewa majumbani na bar
Vipi ATM za kwenye vituo vya mafuta zenye njia mbili za kutokea?Mjinga wewe ambazi akivamia counter akapora pesa counter na wateja kumpata inakuwa ngumu kama kageuza gari kukimbia
Sheria imewekwa kuchelewesha ns raisi ku block gari hiyo ya majambazi tena ashukuru kakuta mlinzi mpole ingekuwa Kenya angetwangwa risasi
Vituo kama vya mafuta gesi nk ndio unatakiwa gari ugeuze mwendo wa kutoka
Zinafundisha vizuri tu sio hayo ya benki tu wanafundisha pia ikiwemo polisi ,mahakamani ,hospitali nk kipi ufanye na kipi usifanyeTuelekeze hizo shule za udereva zinazofundisha namna ya kupaki kwenye ma bank tafadhali.
Ipi hiyo mkuu.Zinafundisha vizuri tu sio hayo ya benki tu wanafundisha pia ikiwemo polisi ,mahakamani ,hospitali nk kipi ufanye na kipi usifanye
Nenda VETAIpi hiyo mkuu.
Nenda chuo chochote cha VETA cha serikali hata refresher course hata uwe na leseni hawana shida watakupa refresher course kwa gharama ndogoTuelekeze hizo shule za udereva zinazofundisha namna ya kupaki kwenye ma bank tafadhali.
Reverse*Sheria hairuhusu reserve parking kwenye mabenki
Huko VETA ndipo tulipotokea mkuu hakuna hiyo elimu.Nenda VETA
Sahivi tunaambiwa kuna direction ya kupark.Tukiwa wadogo tulidanganyana kuwa range rover haziruhusiwi kupaki bank kisa zinakimbia sana,tukiwa wakubwa tukadanganywa eti pikipiki boxer marufuku bank,ujinga mtupu
Huko VETA ndipo tulipotokea mkuu hakuna hiyo elimu unayo isemeaNenda chuo chochote cha VETA cha serikali hata refresher course hata uwe na leseni hawana shida watakupa refresher course kwa gharama ndogo