Usifanye kwa mazoea mleta maada kauliza benki lakini hata ATM uwe makini pia jinsi unapaki gariMimi ni mhitimu wa Shule ya udereva. Ila hili sikufundishwa. Mara nyingi napata huduma ATM ya vituo vya mafuta, Huwa Kuna exit mbili na hakuna shida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye kwa mazoea mleta maada kauliza benki lakini hata ATM uwe makini pia jinsi unapaki gariMimi ni mhitimu wa Shule ya udereva. Ila hili sikufundishwa. Mara nyingi napata huduma ATM ya vituo vya mafuta, Huwa Kuna exit mbili na hakuna shida
Mbona umeanza kwa matusi na hasira, huwez kuongea kistaarabu kama binadamu mwenye akili timamu?Mjinga wewe jambazi akivamia counter akapora pesa counter na wateja kumpata inakuwa ngumu kama kageuza gari kukimbia
Sheria imewekwa kuchelewesha ns raisi ku block gari hiyo ya majambazi tena ashukuru kakuta mlinzi mpole ingekuwa Kenya angetwangwa risasi
Vituo kama vya mafuta gesi nk ndio unatakiwa gari ugeuze mwendo wa kutoka
Hiyo inaitwa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na duniaMimi ni mhitimu wa Shule ya udereva. Ila hili sikufundishwa. Mara nyingi napata huduma ATM ya vituo vya mafuta, Huwa Kuna exit mbili na hakuna shida
Ajabu kweli kweliSahivi tunaambiwa kuna direction ya kupark.