Je Kuna Sheria kuhusu jinsi ya kupaki gari kwenye parking lot ya Bank?

Mimi ni mhitimu wa Shule ya udereva. Ila hili sikufundishwa. Mara nyingi napata huduma ATM ya vituo vya mafuta, Huwa Kuna exit mbili na hakuna shida
Usifanye kwa mazoea mleta maada kauliza benki lakini hata ATM uwe makini pia jinsi unapaki gari
 
Mbona umeanza kwa matusi na hasira, huwez kuongea kistaarabu kama binadamu mwenye akili timamu?
 
Mimi ni mhitimu wa Shule ya udereva. Ila hili sikufundishwa. Mara nyingi napata huduma ATM ya vituo vya mafuta, Huwa Kuna exit mbili na hakuna shida
Hiyo inaitwa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na dunia

Kama wao walisahau kukufunza sasa dunia akiwemo huyo mlinzi na sisi ndio tuko hapa kukufunza kile ambacho mama yako chuo cha udereva hakukufunza

Ndio maana ya elimu haina mwisho uwe mpole tu ukielekezwa mahali kuwa hiki school yawezekana huko ulisoma mwalimu aliruka syllabus

Usilaumu mlinzi kisa darasa la saba wewe una PhD ya udereva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…