BumbleBeeBot
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 478
- 819
Okay nikajuaga bas jina la ukoo ni lazima liwepo kwa kila mtoto wa kiume kwenye ukoo huo.Haina shida.
Kuna wengine hajui hata baba zao ila wanapeta tu.
Ehe naomba nielekeze brother shida itatoka wapi ikiwa baba naitwa Joseph John Mbilinyi na mwanangu anaitwa Tony Joseph John.Shida ipo
Poa poa kaka, kwahiyo haitaleta shida labda kwenye utambulisho wake, baba anaitwa Joseph John Mbilinyi mtoto anaitwa Tony Joseph John.Mbna ndo kawaida huwa ni majina matatu.
Ndiomaana nikakuuliza ndugu yanguππNyie ndio mnawapa shida watoto baadae.
Ni mazoea tu. Uganda ni mara chache sana kuona mtoto anatumia ubini wa baba.Mfano mtoto wa kwanza wa Rais Yoweri Kaguta Mseveni anaita Muhoozi Kainerugaba.Habari wakuu, naomba kujua kama inaweza leta shida kwenye mambo ya utambulisho ikiwa baba akaamua kulitoa jina la ukoo kwa majina ya mwanae. Mfano Mimi naitwa Joseph John Mbilinyi, ila mtoto wangu nikaamua nimwite Tony Joseph John kama full name yake.
Jina la ukoo natamani liishie kwangu, mtoto wangu aanze fresh.Mkuu umedhamilia kuua identity kabisa πππ.
Heh! Kwa hiyo hutaki mtoto wako awe na jina la asili ya kwenu, awe tu na majina ya Koo za wazungu?Jina la ukoo natamani liishie kwangu, mtoto wangu aanze fresh.
Shukrani mkuu, nafikiria Zaid kwenye mambo ya nyaraka za serikali labda. Hawawez wanasema majina Yana walakin kwakuwa surnames ni tofautiNi mazoea tu. Uganda ni mara chache sana kuona mtoto anatumia ubini wa baba.Mfano mtoto wa kwanza wa Rais Yoweri Kaguta Mseveni anaita Muhoozi Kainerugaba.
Unajua, hili swala la kutumia majina naonaga pia yamekaa kama spiritual sanaHeh! Kwa hiyo hutaki mtoto wako awe na jina la asili ya kwenu, awe tu na majina ya Koo za wazungu?