Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Cheti ya kuzaliwa cha mtoto kitasumbua. RITA wanaangalia mfanano wa majina yako na yale ya mtoto kwenye kadi ya clinic. Kama uko serious tembelea RITA upate uhakika
Sijawahi hata kufika wala kupitaI guess umesoma morogoro kuna term umetumia hapo
Akuna shida mwenyewe kabisaEhe naomba nielekeze brother shida itatoka wapi ikiwa baba naitwa Joseph John Mbilinyi na mwanangu anaitwa Tony Joseph John.
Yah nimecheki ig ya Rita wanasema hiko ni kwa walio chin ya miaka mi5, baada ya hapo ndio unajaza taarifa kwajili ya hiko kingineNaombeni niulze namimi humu humu,,ivi kile cheti wanachotoa hosp baada ya mtoto kuzaliwa,huwa ni cha muda mfupi au ndo moja kwa moja?,,sababu nataka nibadilishe mtoto jina la kwanza ila ukoo liwe lile lile,wapo walosema hua ni cha miaka 5, kwaio nataka nikienda bomani kupata cha moja kwa moja nibadili jina hilo......
We jamaa unajikuta unajua alafu hujui, mi nimekwambia kutoa jina na ukoo na kuliweka jina Babu yake. Alafu mbona hata Hilo jina la Mzee wangu ni jina la kibantu sana tuuMuite majina matatu ya kizungu awe mzungu mmatumbi. Nothing makes miafrika happy than kujinasibisha na uzungu/uarabu. Utumwa did eternal damage kwa waafrika.
Manina unaingizwa kwenye Mfumo wa kulea mtoto wa Mume mwenzangu🤣
Jina la mwisho, au jina la ukoo, jina la utambulisho.Kwani wewe unaelewaje neno "surname"?
Kuna mtu wa NIDA nimeongea nae amesema Haina shida, as long as Kuna majina yenu yanaendana na mmejaza taarifa za baba na taarifa za mtoto bas ndio ziwe hivyo hivyo siku zote.Habari wakuu, naomba kujua kama inaweza leta shida kwenye mambo ya utambulisho ikiwa baba akaamua kulitoa jina la ukoo kwa majina ya mwanae. Mfano Mimi naitwa Joseph John Mbilinyi, ila mtoto wangu nikaamua nimwite Tony Joseph John kama full name yake.
Hakuna shidooo.. Tena ukisha jua mtoto mwenyewe umepigwa sio wako, ndo hakuna shido kabisaaaaaaaaaaa.Habari wakuu, naomba kujua kama inaweza leta shida kwenye mambo ya utambulisho ikiwa baba akaamua kulitoa jina la ukoo kwa majina ya mwanae. Mfano Mimi naitwa Joseph John Mbilinyi, ila mtoto wangu nikaamua nimwite Tony Joseph John kama full name yake.
Kuna mtu wa NIDA amenielekeza Haina shida baba Unaweza ukawa unaitwa Joji Malatu Mara na mtoto akaitwa Shaban Joji Malatu. Ishu Mkishajaza taarifa ni ziende hivyo hivyo km mulivyojaza.Ilishaniletea shida kwenye mambo ya serikali ila sikumbuki ni wapi. Nikikumbuka nitakwambia
Hakuna shidooo.. Tena ukisha jua mtoto mwenyewe umepigwa sio wako, ndo hakuna shido kabisaaaaaaaaaaa.Habari wakuu, naomba kujua kama inaweza leta shida kwenye mambo ya utambulisho ikiwa baba akaamua kulitoa jina la ukoo kwa majina ya mwanae. Mfano Mimi naitwa Joseph John Mbilinyi, ila mtoto wangu nikaamua nimwite Tony Joseph John kama full name yake.
Kaka maneno Makali haya 😅😀Hakuna shidooo.. Tena ukisha jua mtoto mwenyewe umepigwa sio wako, ndo hakuna shido kabisaaaaaaaaaaa.
Bahati mbaya, vidole havina ulimi.Kaka maneno Makali haya í ½í¸í ½í¸
Haina shida kabxa na ndo inapaswa kuitwa hvoPoa poa kaka, kwahiyo haitaleta shida labda kwenye utambulisho wake, baba anaitwa Joseph John Mbilinyi mtoto anaitwa Tony Joseph John.
Asante sana,, nitafanya ivoYah nimecheki ig ya Rita wanasema hiko ni kwa walio chin ya miaka mi5, baada ya hapo ndio unajaza taarifa kwajili ya hiko kingine