Umsumbalembe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 944
- 871
Cheti cha kuzaliwa cha mtoto ni ushahidi tosha.Kina majina ya wazazi yaani baba na mama pamoja na ya mtoto. Hivyo hakuna utata wowote.Shukrani mkuu, nafikiria Zaid kwenye mambo ya nyaraka za serikali labda. Hawawez wanasema majina Yana walakin kwakuwa surnames ni tofauti
Shukrani kiongoziCheti cha kuzaliwa cha mtoto ni ushahidi tosha.Kina majina ya wazazi yaani baba na mama pamoja na ya mtoto. Hivyo hakuna utata wowote.
Usihadaike na hayo mauongo ya waongo. Jina ni utambulisho wa mtu. Jina halina spirit.Unajua, hili swala la kutumia majina naonaga pia yamekaa kama spiritual sana
Ok kwa mfano, Mimi ukoo wangu ni maarufu huko itinga. Niliskiaga kitambo ukoo wa wetu ulkuwa na ugomvi na ukoo gan sijui wakaanza kuuana kwa majina, lakin baadae inasemekana wazee wakakaa kumaliza tofauti zao, chain ya vifo kwa majina ya ukoo ikastop. Lakin pia nikaja kuskia Tena ikatokea Tena scenario kama hiyo kwenye jina hili Tena ila uzao wa kuanzia kwa Babu yangu.Usihadaike na hayo mauongo ya waongo. Jina ni utambulisho wa mtu. Jina halina spirit.
Wazungu waliwadanganya mababu eti Majina yao yatawaletea mabalaa na bahati mbaya.
Leo hii watu Wana majina ya kizungu na bado wana mabalaa na bahati mbaya!
Sisi wa leo, tunapaswa kuwa ana akili na kuthamini urithi wa tamaduni zetu badala ya kuendeleza ulaghai wa wazungu, hasa kupitia dini.
Ipo hivyo sanaUnajua, hili swala la kutumia majina naonaga pia yamekaa kama spiritual sana
Mimi nilibadili nikiwa secondary, hata mtoto hajabeba laukooJina la ukoo natamani liishie kwangu, mtoto wangu aanze fresh.
Na hii ndio kasumba inayowafanya wengi waachane na matumizi ya majina ya koo zao, kuna ule uhasama wa koo na koo tangu zamani, upo na unaendelea kizazi hadi kizazi vita ni kubwa usipokuwa smart n ngumu sana kulitambua hilo.Ok kwa mfano, Mimi ukoo wangu ni maarufu huko itinga. Niliskiaga kitambo ukoo wa wetu ulkuwa na ugomvi na ukoo gan sijui wakaanza kuuana kwa majina, lakin baadae inasemekana wazee wakakaa kumaliza tofauti zao, chain ya vifo kwa majina ya ukoo ikastop. Lakin pia nikaja kuskia Tena ikatokea Tena scenario kama hiyo kwenye jina hili Tena ila uzao wa kuanzia kwa Babu yangu.
Mkuu nakuonea huruma kwa sababu hujui ulitendalo. Katika sehemu zote ambazo zinahitaji kujaza majina huwaga kuna jina la kwanza, jina la pili na jina la ukoo, hiyo hata kitumishi kama kijana wako anahitajika kushika nyadhifa serikalini basi vetting yake inaanzia kwenye ukoo wake ili kujua chimbuko lake halisi. Sasa wewe unasema limekaa spiritual wakati huo ukoo ndo umekuweka hadi hapo ulipo kiumri.Unajua, hili swala la kutumia majina naonaga pia yamekaa kama spiritual sana
Akienda kuapply passport watamwambia akabadilidhe kwenye vyetiShida haipo
Mwendo wa majina ya kizungu tu na kiarabuJina la ukoo natamani liishie kwangu, mtoto wangu aanze fresh.
Bila kwenda europe au arabia. Wazazi wengi huwezi waambia kitu 😁Usihadaike na hayo mauongo ya waongo. Jina ni utambulisho wa mtu. Jina halina spirit.
Wazungu waliwadanganya mababu eti Majina yao yatawaletea mabalaa na bahati mbaya.
Leo hii watu Wana majina ya kizungu na bado wana mabalaa na bahati mbaya!
Sisi wa leo, tunapaswa kuwa ana akili na kuthamini urithi wa tamaduni zetu badala ya kuendeleza ulaghai wa wazungu, hasa kupitia dini.
Mkuu mbona Mimi immigration walinibania passport kisa jina la babu wa kwenye birt certificate halifanani na langu la nida walikaza kbs ikabidi nikarekebishe upya RitaHakuna Shida
Hiyo ipo kwetu.....
Baba anaitwa Klop Joseph Mbilinyi
Mimi naitwa Liverpool Klop Mbilinyi
Mdogo angu/Dada anaitwa Chelsea Klop Joseph
Na HAIJAWAHI KUWA SHIDA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Haina shida mkuu, mimi mwenyewe nilivyo fika darasa la nne nilibadili jina. Jina la mdingi lilikuwa limekaa ki-mizi mizi nikaamua kuachana nalo.Habari wakuu, naomba kujua kama inaweza leta shida kwenye mambo ya utambulisho ikiwa baba akaamua kulitoa jina la ukoo kwa majina ya mwanae. Mfano Mimi naitwa Joseph John Mbilinyi, ila mtoto wangu nikaamua nimwite Tony Joseph John kama full name yake.
Haya majina matatu ya utambulisho wa mtu ni mfumo wa kisasa.Habari wakuu, naomba kujua kama inaweza leta shida kwenye mambo ya utambulisho ikiwa baba akaamua kulitoa jina la ukoo kwa majina ya mwanae. Mfano Mimi naitwa Joseph John Mbilinyi, ila mtoto wangu nikaamua nimwite Tony Joseph John kama full name yake.
Kwangu haijawahi kutokea shida kokote.Mkuu mbona Mimi immigration walinibania passport kisa jina la babu wa kwenye birt certificate halifanani na langu la nida walikaza kbs ikabidi nikarekebishe upya Rita