Je, Kuna shida surname ya mtoto na baba zikitofautiana?

mtoto wa Raila Odinga aliitwa Fidel Castrol
 
Jina la ukoo sio muhimu kwenye majina ya mtoto muhimu ni majina mawili yanayoongezeka kwenye jina lake yawe ni kati ya majina ya baba yanayosomeka kwenye cheti cha kuzaliwa cha mtoto
 
Muite majina matatu ya kizungu awe mzungu mmatumbi. Nothing makes miafrika happier than kujinasibisha na uzungu/uarabu. Utumwa did eternal damage kwa waafrika.
 

Leo mitanganyika haitaki kuitwa Bahati, Masanja, Upendo, Sanga, Mrisho ila inaona fahari kuitwa Jaden, Cookie, Chelsea, Kenzo. Mitanganyika ina upumbavu endelevu.
 
Mtoto wangu nimempa majina yangu kwahiyo tunafana kwa 100%. Kuna muda nafikiria asije akarithi na tabia zangu tumekwisha.
 
Sasa mkuu, inakuaje ndugu wa damu kama Michael Scofield na Lincoln Burrows wakatumia majina mawili tofauti?

George W. Bush had five siblings. Their names are Pauline Robinson "Robin" Bush (deceased), Jeb Bush, Neil Bush, Marvin Bush, and Dorothy Bush Koch. Robin, the oldest of the siblings, died of leukemia at the age of three,

Hawa kina Bush inakuaje jina la kati likawa tofauti wakati ni watoto wa baba na mama mmoja?
 
Kwani wewe unaelewaje neno "surname"?
 
Kwenye story ya prison break Lincoln Burrows Michael Scofield ni watoto wa baba na mama m'moja ila Michael alichukua jina la ukoo la familia ya mama yake katika malezi yake sababu baba yao baada ya Michael Scofield kuzaliwa alitoweka. Lincoln Burrows alichukua jina la baba yake sababu kipindi anazaliwa na kulelewa wazazi wote walikuwapo pamoja ila misuko suko ya CCM wa Prison break ilipoanza alitoweka na mama mtu alipompata mtoto wa pili akabadili jina na kutumia jina la ukoo wa familia yake yaani Scofield. Ila Baba yao anaitwa Burrows.

Tukirejea kwenye familia ya G. Bush. Wazungu especially mataifa ya magharibi wana utamaduni wa kuwapa watoto wao majina ya kati kwa kutazama namna yana sound au yanabeba maana gani huku wakiachia majina ya mwisho ya ukoo yabakie the same.

So kwa mfano, umeona majina hapo ya katikati yanatofautiana ila ni wazazi wanachagua kumwita jina la kwanza wanampa la kwake la pili wanaweza mwita kikwete,halafu Bush linabakia vile vile halifitwi.

Wanaweza mwita hata jina la katikati likawa ni la rafiki wa familia au msanii maarufu then la ukoo hawalifuti.

Ni utamaduni wao. Ila sisi hatuufuati huo. Sisi tunatumia utamaduni wa malkia sio wa kimarekani.
 
Ni mazoea tu. Uganda ni mara chache sana kuona mtoto anatumia ubini wa baba.Mfano mtoto wa kwanza wa Rais Yoweri Kaguta Mseveni anaita Muhoozi Kainerugaba.
Museveni muhuni alifanya hivyo kwa sababu za kisiasa na kiusalama
 
Wazungu wana option ya kutumia either majina ya upande wa mama au baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…