Je, Kuna shida surname ya mtoto na baba zikitofautiana?

Cheti ya kuzaliwa cha mtoto kitasumbua. RITA wanaangalia mfanano wa majina yako na yale ya mtoto kwenye kadi ya clinic. Kama uko serious tembelea RITA upate uhakika
 
Naombeni niulze namimi humu humu,,ivi kile cheti wanachotoa hosp baada ya mtoto kuzaliwa,huwa ni cha muda mfupi au ndo moja kwa moja?,,sababu nataka nibadilishe mtoto jina la kwanza ila ukoo liwe lile lile,wapo walosema hua ni cha miaka 5, kwaio nataka nikienda bomani kupata cha moja kwa moja nibadili jina hilo......
 
Yah nimecheki ig ya Rita wanasema hiko ni kwa walio chin ya miaka mi5, baada ya hapo ndio unajaza taarifa kwajili ya hiko kingine
 
Muite majina matatu ya kizungu awe mzungu mmatumbi. Nothing makes miafrika happy than kujinasibisha na uzungu/uarabu. Utumwa did eternal damage kwa waafrika.
We jamaa unajikuta unajua alafu hujui, mi nimekwambia kutoa jina na ukoo na kuliweka jina Babu yake. Alafu mbona hata Hilo jina la Mzee wangu ni jina la kibantu sana tuu
 
Kuna mtu wa NIDA nimeongea nae amesema Haina shida, as long as Kuna majina yenu yanaendana na mmejaza taarifa za baba na taarifa za mtoto bas ndio ziwe hivyo hivyo siku zote.
 
Hakuna shidooo.. Tena ukisha jua mtoto mwenyewe umepigwa sio wako, ndo hakuna shido kabisaaaaaaaaaaa.
 
Ilishaniletea shida kwenye mambo ya serikali ila sikumbuki ni wapi. Nikikumbuka nitakwambia
Kuna mtu wa NIDA amenielekeza Haina shida baba Unaweza ukawa unaitwa Joji Malatu Mara na mtoto akaitwa Shaban Joji Malatu. Ishu Mkishajaza taarifa ni ziende hivyo hivyo km mulivyojaza.
 
Hakuna shidooo.. Tena ukisha jua mtoto mwenyewe umepigwa sio wako, ndo hakuna shido kabisaaaaaaaaaaa.
 
Hii ipo Uganda kwa sana hadi huwezi fahamu hata watu ni siblings na maisha yanakwenda.

Sioni shida ukiwa jina lako lipo kwenye vyeti vya kuzaliwa n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…