Je, kuna siku Tanzania itafanyika uchaguzi wa huru na haki?

mmaroroi

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2008
Posts
4,635
Reaction score
2,271
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maelewano kwa wanasiasa Tanzania. Je, hiyo ni dalili ya uchaguzi wa huru na haki?
 
Labda kama Huru na Haki itakuja kuwa na maana nyingine mpya
 
Hyooo sahau km ulivyosahau kunyonyaa ziwa la mama Yako mkuu c Kwa CCM hii na viongozi wakee ..

Unaijuaaa V8 ww
 
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maelewano kwa wanasiasa Tanzania. Je hiyo ni dalili ya uchaguzi wa huru na haki?
ni washirikina pekeyake ndio hua hawaoni uhuru na haki kwenye uchaguzi 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…