Hakuna fyoko fyoko,
Hiyo siku haipo
Mkuu
britanicca , hakuna siku Zanzibar itajitenga kwasababu Zanzibar sio nchi, ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.
Type ya muungano wetu ni very unique, kwa upande mmoja ni fused union, kwa nchi mbili kufa na kuzaliwa nchi moja. Nchi mbili hizo haziwezi kukufuliwa, they are dead and gone, hivyo kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, kuivunja ni uhaini!, ni muungano for life na hakuna room ya kuuvunja!.
Kwa upande wa pili ndani ya muungano, muungano wetu ni federation ya nchi mbili, serikali mbili, marais wawili, mabunge mawili. Nchi hizi mbili, moja ni dola na nyingine sio dola, nchi ambayo sio dola haiwezi kujitenga kwasababu inaitegemea dola!, hivyo muungano wetu upo sana na tutaulinda kwa gharama yoyote, na ndio maana kwenye kila uchaguzi wa upande ule kuna mtu huwa anashinda lakini hapewi kwa kuhofia hatma ya muungano!.
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano? hivyo lazima fulani ashinde!.
P